freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unadhani Freeman Mbowe au Tundu Lissu, mmojawapo akishinda itakuwaje?

    Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo; 1. Marekebisho ya Katiba ya CHADEMA 2. Ruzuku inayotolewa Kwa CHADEMA 3. Mgombea Urais chadema uchaguzi Mkuu mwaka 2025. 4. Mfumo wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mbowe akishindwa uwenyekiti wa CHADEMA, nitamlindia heshima yake

    Wanajukwaa! Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Tundu Lissu akidai Mbowe alipotoka jela alibadilika kalamba asali!

    Nimemsikia Tundu Lissu akidai Mbowe alipotoka jela alibadilika kalamba asali!, Mbowe mstaarabu sana aisee jamaa anampaka vibaya sana hata kwenye mdahalo. Najiuliza hivi, yeye aliporudi nchini alifanya nini? Upi mchango wake mkubwa baada ya kurudi nchini kutoka Ubelgiji ambao tunaweza sema Tundu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya miaka mitatu badala ya mitano. Mbowe, anayetetea nafasi hiyo aliyoiongoza kwa miaka 21, amesema...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitaunda tume ya ukweli na upatanishi nikishinda Uenyekiti

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi. Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi za chini hadi wa taifa, utakaohitimishwa Jumanne ya Januari 21, 2025, kumetokea mnyukano mwingi...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nilijitoa kwenye Join The Chain baada ya Mbowe kutoka gerezani na kuanza kujimilikisha hiyo kampeni

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa moto. Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo. Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na...
  7. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

    Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili. Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mwenye ushahidi wa Rushwa CHADEMA alete, hakuna aliye msafi kama Mtume

    Wakuu "Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli" "Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
  9. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia

    === Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii. Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya...
  10. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wameendelea Kutoa Elimu kwa waandishi wa Habari

    Baada ya Jana Tundu Lissu kutoa Elimu kwa Mtangazaji Kijakazi Yunus wa CLOUDS TV kupewa Elimu na Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Leo Freeman Mbowe ameendelea Kutoa Elimu ya aina Hiyo na hapa ni azam TV https://www.instagram.com/azamtvtz/reel/DE6vkQ3Bufu/
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Lissu kusema hajui nilichozungumza na Rais ni Umbea

    Wakuu, Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh: "Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea, na unapoona kiongozi mwandamizi kama kweli amesema..mimi sijasikikia ila kama kweli amesema...
  12. Patriot missile

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

    Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani Mwenyekiti wa CCM akimteua Makamu wake kisha apigiwe Kura na Mbowe kumteua Wenje kisha apigiwe Kura?

    CCM inatumia Akili kubwa, inajua Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT mwenye majukumu chungu nzima ya kiserikali hivyo ni Busara Yeye mwenyewe ateue Msaidizi wake kisha Mkutano mkuu umfanyie usahili Hii inaepusha watu kuvunjiana Heshima kama huko Chadema yule mbobezi Wenje alivyowavuruga hadi...
  15. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Drama za CHADEMA Katika kumpata mwenyekiti mpya,hila,Choyo na utapeli

    FREEMAN AIKAEL MBOWE (Borntown) Ana huruma kiasi,anasikiliza shida za wanachama wake,ila hapendi mtu mwerevu kupita kiasi,yaani usivuke mipaka.mtaji wake ni wanachama Waandamizi yaani aliowasaidia shida mbalimbali hawa anaamini watamvusha na wao wamemuhakikishia hilo Anajisikia vibaya kuiacha...
  16. Bramo

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, WaTanzania ni zaidi ya Kamati kuu ya CHADEMA

    Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM. Ni Matumaini yangu u heri wa Afya. Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed 1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya Kamati Kuu ya CHADEMA hence wakakupigia Kura nyingi na kuwa Mwenyekiti. 2. CHADEMA kilishavuka stage...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mbeya: Mkituletea Mbowe Chama kinakufa

    Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kumchagua Tundu Lissu ili aweze kushika wadhifa huo. Wakizugumza katika mkutano na...
  18. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu Edo amesema “ningekuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kumsikia Mbowe akisema, baada ya kumsikiliza Lema, nimetafakari na kuamua kujitoa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

    Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni. Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

    Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa. Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania. ========================= Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha...
Back
Top Bottom