freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe tulikuona unabusara na akili, lakini wewe ndiyo sababu ya yote yanayowakuta CHADEMA

    Wala salamu sitoi Honestly ukiniuliza sasa hivi kuhusu yanayowapata CHADEMA Sitoacha kumuhusisha huyu Jamaa mbinafsi, mwenye roho mbaya, Freeman Aikael Mbowe. Wewe una roho mbaya sanaa, mbinfsi sana, na una chuki sanaa wewe. Nakuhakikishia hili litaisha vzri tuu na CHADEMA itaibuka mshindi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA hawakuandaa "back - up" ya Tundu Lisu, huenda Mbowe akafaa huko mbeleni

    Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hata waliolamba asali na kushangilia hawana furaha, pole sana Freeman Mbowe

    Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii. Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!! Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Freeman Mbowe mbona hakemei matukio ya watu kutekwa?

    Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini. Je ameamua kutudhira watanzania?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je mwamba Freeman Mbowe anasubiri chadema ifutwe?

    Salut wanaJF! Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao. Je Mwamba anasubiri...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Freeman Mbowe atajiunga na CHAUMMA, taifa litanufaika sana

    Habari wanaukumbi! kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mbowe anatumika ama anatumiwa?

    Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala. Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana. Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza!

    Kama ni kweli Mh Freeman A Mbowe amenunua Chaumma basi hatakuwa mtu wa kwanza kununua chama cha Siasa John Shibuda mbunge wa Chadema mstaafu alishawahi kununua chama cha Siasa kisha akakiuza Mlale unono 😁 Kwako Retired Majibu ya John Shibuda ~ John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mbowe kuibukia Chaumma Leo

    Nimepenyezewa taarifa na mbunge mmoja wa Covid-19 mkoa wa Singida muda huu. Ngoja tuone.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mlinzi wa Freeman Mbowe aonekana kwenye Mkutano wa CHAUMMA unaopokea viongozi wa G55

    Wakuu! Mlinzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ajulikanaye kwa jina la Hassan Bwire, ameonekana akihudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo, Mei 19, 2025.
  13. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Niseme nini? Tukiongea watasema tunawashwawashwa, wasemao ni wenye mamlaka!

    Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama. Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe yuko likizo. Ukimya wake haumaanishi kwamba amenuna au anafanya sabotage. Mimi naongea nae, hana akili hizo

    Wakuu, Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli. Amesema kuwa kwa sasa Mbowe yuko likizo na anaendelea na shughuli zake binafsi kama kawaida.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulianza kutokuwa na imani na Mbowe

    Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema. Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

    Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kinondoni: Ukimya wa Freeman Mbowe unatia shaka, ajitokeze hadharani kusema kama anawapa baraka G55

    WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao...
  19. JamiiForums Tanzania Maneno ya Busara ya Freeman Aikaeli Mbowe!!

    Najua watu wa Lumumba mtachangia huu Uzi bila ya kuangalia hii "clip" kwa kuwa hamna bando. Hapa Mbowe anaelezea jinsi ilivyo ngumu kuisambaratisha CHADEMA kama ilivyokuwa rahisi Kwa NCCR - Mageuzi G55 na CCM sikilizeni maneno kuntu ya Mbowe
  20. R

    JamiiForums Tanzania Brain-teasing political question: Je, Mbowe akienda CHAUMMA na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika?

    Mbowe anakwenda Chauma na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika ? Najaribu kufikiri! Naomba maoni yako!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…