freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

    Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika. Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

    Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

    Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

    Kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau. Tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila mafanikio. Ni majuzi tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuondoa katazo la maandamano lililokua limewekwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nje ya Utumishi wa Umma alianza kumiliki kikundi Cha Burudani ( Disco) na Sasa ni Mkuu wa Upinzani nchini!

    Tupo Hapa Mwananyamala Komakoma kwa Baharia Mani opposite na alipokuwa anaishi Makongoro Nyerere tukijadili Siasa za Nchi yetu Kwa hakika Kati yetu Hakuna aliyewahi kufikiria Freeman atakuja Kuwa Mwanasiasa achilia Kuwa Kiongozi wa Chama kikuu Cha Upinzani Tunajiuliza huyu Freeman Mbowe...
  7. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiona imefika mahali Freeman Mbowe akaja na kampeni ya Samia Must Go, basi ujue amechoka sana na mambo ni mabaya mno

    Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo kubwa mno. Pamoja na kwamba uvumilivu ni jambo jema sana kila wakati, kuna mahali inafika hata...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda wa mwenyekiti wa CHADEMA kujiuzulu. Mbowe must go!

    Wasalaam Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm. Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunaipa Serikali watueleze watoto, Viongozi wetu na wanachama wetu wako wapi Kufikia 21 Septemba, 2024

    Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho, na kwa sababu wao wamekataa kulifikisha mwisho, sisi tutawalazimisha walifikishe mwisho. Ili tufanikiwe hili, ndugu zangu Wanachadema tunahitaji kuwa kitu kimoja, kila mmoja wetu anapaswa kuwa bega la...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji. Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, anatarajiwa kutoa tamko la chama hicho juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania. Viongozi na Wafuasi wa chama hicho wanajadili kwa kina mstakabali wa CHADEMA, kwa kuzingatia hali ya kisiasa na changamoto wanazokabiliana nazo...
  13. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa na Imani na Freeman Mbowe kama mwanasiasa mpigania haki na uhuru

    Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania. Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Hii ndiyo hotuba ya M/kiti - CHADEMA Freeman Mbowe akiongea kwa hasira kwenye mazishi ya msiba wa Mzee Ally Mohamed Kibao, Tanga

    Sijui Mch. Peter Msigwa anaweza kuwa na maoni gani akimwona mwamba Freeman Mbowe hasimu wake akiwa katika ubora wake kama hivi Hii ilikuwa ni baada ya kuwa tukio la kuzomewa kwa Waziri Hamad Masauni na kushindwa kutoa hotuba yake kutokea na Freeman Mbowe kutuliza waombolezaji na baadaye...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Kikao Maalum kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbowe usipobadilika, kuna siku utazomewa kama Masauni

    Hii ni tahadhari yangu kwa Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku watu watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao. Wenzako hawa hawana ustaarabu na hata shukurani hawana. Umekuwa muungwana sana katika kuongoza harakati za...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa amwandikia Mbowe barua akidai fidia ya Tsh. Bilioni 10

    Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kumtaka Mchungaji Peter Msigwa kuomba radhi na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu, Mchungaji Msigwa kupitia mawakili wake kutoka Mwamgiga Law Chambers ametoa majibu rasmi. Katika...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Iundwe Tume ya kijaji kuchunguza kifo cha Ali Kibao, Polisi hawawezi kujichunguza

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji Nchini. Amesema Tume hiyo ambayo itachunguza pia tukio la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe tumia msiba huu wa mzee Ally kuinvoke Peoples power ili kumpata Deusdedit Soka wakiwa hai kabla haijawa too late

    Kwako Ndugu Freeman Mbowe. Uwezo wa kusaidia kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji nchini unao ila hujaamua "kukasirika" vya kutosha Ndugu Mbowe, wewe ni mwenyekiti wa chama ambao makada wake wamekuwa wakitekwa na kuumizwa, haitoshi tu kukasirishwa na kuumizwa, bali inapasws ufanye jambo na...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

    Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao. Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…