Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF).
Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea kukosa endorsement na akasema kuwa hizo zote ni changamoto ambazo hujitokeza hasa nyakati kama hizi...