followers

Leaders Not Followers is an EP album by the British band Napalm Death, featuring covers from various punk and metal bands. The EP has been re-issued by Secret Records on limited edition red vinyl on the occasion of Record Store Day 2013 and has also been included on their CD re-issue of Enemy of the Music Business as bonus tracks.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kabla ya kuwaza jinsi gani ya kuiboresha Elimu zaidi nchini, tuiheshimu na tuipe nafasi Elimu tuliyonayo sasa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchi

    Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla. Uongozi ni kitu muhimu kwenye kila kitu(ngazi) iwe Taifa, familia, Taasisi, Biashara na hata katika maisha ya mtu...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nimepata followers laki 2 na elfu 80+ instagram kwa sababu ya kukomenti tu

    Wakati wa vuguvugu la corona niliamua kufungua account ya ziada instagram kwa ajili ya kuwa huru kukomenti chochote. Fast forward now account yangu ina followers laki 2 na 80. Nimepata followers hao kwa sababu ya kukomenti tu kama ' Xavier" wa Quora. Kila nikicomenti kwenye trending...
  3. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kuwa na followers Wengi Instagram hakuna faida?

    Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana. Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Utata wa idadi ya followers wa Diamond huko Youtube

    Haya kama kawaida jamaa wameendelea. Last time walituambia Mandonga kapigwa Kenya kabla hata ya pambano kufanyika. Tulipopoint that out wakafuta uzi. Leo hii wanatuambia Diamond ndo anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi (bilioni 7.65) 😂😂😂😂😂 Sasa hii taarifa hawakuipitisha huko kwenye jamii check...
  5. frado

    JamiiForums Tanzania Mambo 4 ya kufanya Instagram kupata followers zaidi

    Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako Ili kuwa na profile visits kubwa unapaswa kufanya mambo yafuatayo BIO OPTIMIZATION Hiki ni kitendo cha kutumia maneno...
  6. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African celebrities with most Instagram followers

    MOST FOLLOWED AFRICANS ON INSTAGRAM 2021 1-DAVIDO🇳🇬 20M 2-YEMI ALADE🇳🇬 13.8M 3-DIAMOND PLANTINUNZ🇹🇿 12.2M 4-TIWA SAVAGE🇳🇬12.4M 5-WIZKID🇳🇬12.1M 6-DON JASSY🇳🇬???? 7-TECNO🇳🇬 8.6M 8-OLAMIDE8M 9-SHILOLE🇹🇿 7.6M 10VANESSA MDEE🇹🇿 7.2M...
  7. Almendezz

    JamiiForums Tanzania Kutumia telegram kuongeza followers, likes na comments za INSTAGRAM

    Kwa wale wanaopenda kuboost account zao za instagram kwa personal uses au biashara unaweza kutumia telegram kutimiza lengo lako. Pitia hapa kidogo " Also known as Telegram Pods, Telegram Groups, or Instagram Engagement groups, basically they are a group of people in a chat, created...
Back
Top Bottom