Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini.
Akizungumza jijini Dodoma...
Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi.
Sereikali mko wapi?
Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu?
Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi?
Wako wapi wakuu wa...
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka.
Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi.
Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi.
Yote tisa, kumi ni hii...
Ndugu wasomaji
Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7 lakini toka Januari hali bandarini imetisha maana kuhamisha container inachukua karibia mwezi mmoja...
📍 – Bunju “B”
Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku.
Tatizo kubwa ni:
Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni
Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu)
Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari.
Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu.
Kwa muda mrefu sasa, Mkoa wa Arusha umekumbwa na tatizo sugu la ongezeko kubwa la foleni ya magari...
Hizi semi zimekuwa kero mara dufu.
Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei.
Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka.
Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
Habari zenu!
Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
Toka ndg Lameck Madelu ateuliwe kuwa PM amesababisha kero kubwa ya foleni pale anapotoka kwake na kurudi nyumbani.
Nadhani ikiwezekana mamlaka impatie Nyumba huko karibu na mjini yaani Oysterbay maana kuna makazi rasmi ya Waziri mkuu.
Mfano leo.Saa asubuhi umeleta.adha kubwa ya foleni pasipo...
Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko.
Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania.
Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima...
Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi?
Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi?
Uzi tayari.
Karibuni kwa majibu.
Wakuu kwema…
Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe.
1. Luku
Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya...
Huyu mkandarasi hadi uwezo, pesa ni ya World bank, why hamjengi mkamaliza? Kuna malori na magari madogo kama buku na kidogo. Kuanzia Visiga hadi ruvu.....
Huu usumbufu usio na maana. WORLD BANK njooni muone huyu mkandarasi
Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?
1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au
2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.