Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame).
Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu ya awali uliyopata. Lakini uzuri wa hiyo nyumba, nakshi zake, na thamani yake ya ndani inategemea...