fikirishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Picha Fikirishi: Tupia yako

  2. R

    Makamba anahitaji atupe maelekezo ya kueleweka kuhusu Umeme

    Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME. Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa kidogo nikaona kwa kasi aliyokuwa nayo Hata Daraja la Busisi lingekuwa lilishakamilika.
  3. Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
  4. T

    Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

    "Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
  5. Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

    Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu? Picha haihusiani ila uzi bila...
  6. Picha fikirishi ya Magufuli

    Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs. R I P. Ujanja ni kuchanja
  7. M

    Swali fikirishi linalotaka majibu fikirishi

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana...
  8. MADA FIKIRISHI: Ingekuwa vipi kina Ertugrul wangezaliwa Tanzania?

    Angalia tamthilia za kituruki za Azam TV; tangu Sultan, Wounded Love na hata sasa Ertugrul utagundua kitu kimoja tu. Kwamba tamthilia hizi ni simulizi za historia ya nchi yao ya Uturuki. Kihistoria Uturuki ilikuwa sehemu ya himaya kubwa ya Ottoman ambayo ilianza mnamo karne ya 13. Himaya hii...
  9. Makala fikirishi kuhusu ajira nchini

    Niwasalimu kwa jina la Jamhuri wakuu, Bila kuwa na bla blaa kibao, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu niliyokusudia kuwaletea humu ndani. Ni kuhusu suala la ajira kuwa gumu nchini na kueza waona baadhi ya taasisi nyingi ya kiserikali wakijaribu kupitisha majina ya watu wao katika...
  10. Taarifa ya tume ya Corona imetoa mapendekezo zaidi kuliko hali halisi ya ugonjwa kwa sasa nchini

    Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi: "Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali ya sasa ya corona nchini, na hali ya corona kwa siku zilizopita na athari zake. Binafsi nashangaa...
  11. Nukuu 10 fikirishi na za hekima

    NUKUU 10 FIKIRISHI NA HEKIMA 1. Ni heri kumheshimu mtu kwa juhudi zake kuliko kusibiri uje ujipendekeze kwake akiwa anakula mavuno ya juhudi hizo kwani huo Ni usakatonge hatari 2. Ni vema kumkosoa mtu usiyekubaliana na Mambo yake na kumpa mawazo mbadala angali hai kuliko kumngoja afe ama afeli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…