fidia

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ilipora Maelfu ya mifugo ya nchi nyingine iliyokamatwa kwenye mapori ya mpakani. Wahanga walipwe fidia

    Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka. Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia kwenye mapori ya Tanzania, badala ya kurejeshwa zilikotoka viongozi wa Tanzania wakaamua kuzipora na bila...
  2. JamiiForums Tanzania Njooni hapa mliowahi kulipwa fidia baada ya ajali

    Huu ni uzi wangu wa pili kuhusu kulipwa fidia, hii ni kwa sababu watu wengi kila siku wanapata ajari na wakifatilia fidia wanaishia kati kutokana na hatua nyingi au wengine kupotezea kutokana hawajui waazie wapi. Mi ya kwangu ni hivi nilipata ajar mwezi wa kumi, sasa kuna ndugu yangu anafatilia...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari Bagamoyo, wananchi 9800 kulipwa fidia

    Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi. Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka...
  4. JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  5. JamiiForums Tanzania FIFA Imeiamuru Simba SC Kumlipa fidia ya Milioni 110 Mchezaji wa Congo Doxa Gikanji

    Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya kuona asingeweza kuwasaidia kwenye michuano ya CAF. Huvyo Doxa akabaki akiwa hana timu wakati huo...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

    Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Uganda kuulipa mkoa wa Kagera fidia ya vita vya Kagera

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano. (Hili tukio siyo halisi. Majina yametajwa katika mantiki na muktadha wa urithi wa kihistoria ambao unarithishwa vizazi hata vizazi kwa njia ya uandishi) Advocate Dr. Bishagazi Bishanga Bishaija Bashungwa LLB-Udsm, LLM-Uk, LLD-Usa, ameenda Umoja wa Mataifa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
  13. JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  14. JamiiForums Tanzania MCL: DPP kurudisha fedha za 'plea bargain' kwa waliodhulumiwa

    DPP kuachia mabilioni ya fidia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha Sunday George Wakati baadhi ya wanasheria na wadau mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga wa ajali wanastahili fidia, kuna uelewa mdogo wa masuala ya bima

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza amesema wanaopata ajali au madhara katika Chombo cha Moto ambacho Fidia yake husimamiwa na Sheria ya Bima wanapaswa kulipwa. Ameeleza hayo baada ya Mbunge Rita Kabati kusemi abiria wengi wanaopata Ajali wamekuwa wakisumbuliwa na wamiliki wa Bima...
  16. JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
  17. JamiiForums Tanzania Manispaa Sumbawanga lipeni fidia wenye mashamba viwanja mliviuza msiwalazimishe wamiliki kulipa fidia

    Mh. Waziri wa ardhi nakuomba ufuatilie mgogoro wa ardhi Kizwite manispaa ya Sumbawanga unaosababishwa na maafisa ardhi wala rushwa kwa kushirikiana na matapeli wa viwanja mimi ni mmoja wa wamiliki wa hivyo viwanja nilikinunua manispaa katika mradi wao wa upimaji viwanja. Mwaka 2004 Manispaa...
  18. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwa na sheria itayowapa haki waliobambikiwa kesi kudai fidia

    Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara. Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania RC Makala, Tunakujulisha kuwa fidia hazijalipwa Sinza

    Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa. Mkuu fuatilia hawa watu hapa kuna sintofahamu kwa sababu taarifa tulizo pata ni kuwa zile pesa za fidia zilihamishwa toka...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Fidia Mto wa Mg'ombe. Je, pesa zimeliwa?

    Fidia imecheleweshwa sana na wananchi walishasaini zaidi ya mwezi ulishapita wakaahidiwa kulipwa ndani ya wiki mbili! Leo zaidi ya mwezi hawajalipwa ukiuliza ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni ambao ndo walifanya tathmini wanasema pesa walisha pelekewa TARURA-DMDP ili walipe wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…