fei toto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  3. JamiiForums Tanzania Fei Toto kama Cristiano Ronaldo, ukubwa una vita kubwa

    Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri. Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  5. JamiiForums Tanzania Feitoto angekuwa mfungaji bora, mngekubali Aziz Ki apewe tuzo ya MVP?

    Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka. Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili. Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  8. JamiiForums Tanzania Sikiliza maswali ya wanahabari wetu, ni kama ya Fei Toto

    Hebu sikiliza na kuona haya Dube na maswali ya waandishi wetu. Safari ni ndefu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote Lakini kwa Feisal...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  12. JamiiForums Tanzania Fei toto katoa Assists 2, Azam ikiua 3-0 kigoma

    Match ipo dakika ya 80 Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr Silla Allasane diao Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.
  13. JamiiForums Tanzania Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  14. JamiiForums Tanzania Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

    Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting. Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli! Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
  16. JamiiForums Tanzania Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

    Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima. “Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga. Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano...
  19. JamiiForums Tanzania Nilijua anakuja kwetu Simba kweli sisi ni mambumbumbu

    Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a Simba Guvu moya
  20. M

    JamiiForums Tanzania Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…