fedha

  1. JamiiForums Tanzania Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

    Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?. Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia. Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora. GSM yupo kufanya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Fedha ya Bunge PAC yatoa tamko: ATCL iko mahututi, itakufa hivi karibuni

    Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

    Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi yatoza Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha milioni 36 kwa kukiuka sheria ya habari

    Mahakama nchini Urusi ilitoza kampuni za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha rubles milioni 36 (Bilioni 1.1) kwa "kukiuka sheria ya habari ya kibinafsi". Kesi zilizowasilishwa na Wakala wa Teknolojia ya Habari ya Shirikisho la Urusi na Wakala wa Usimamizi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala inaathiri sera ya fedha kwa kuathiri 'financial inclusion'

  6. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Manispaa/ Halmashauri kuiba mali au fedha za serikali, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

    Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi! Hii hali haikomi? Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
  7. JamiiForums Tanzania IMF kutoa dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupambana na Covid-19

    Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19. . IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya Fedha: Uhuru wa Kifedha

    UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM) Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo. Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama...
  9. JamiiForums Tanzania Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako

    Makala ya tatu Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;- • Akiba • Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi • Mikopo kutoka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hafai kuongoza Wizara ya Fedha

    mfumuko wa bei doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
  12. JamiiForums Tanzania Cryptocurrency ya Japan yadukuliwa, zaidi ya Tsh. Bilioni 230 zaibwa

    Fedha ya Mtandao(Cryptocurrency), Liquid Global ya Japan ambayo ni moja kati ya fedha 20 za mtandao zinazotumika zaidi, imedukuliwa na dola milioni 100 zimeibwa ambazo ni sawa na takriban Tsh. Bilioni 323. Huu I wizi wa pili mkubwa baada ya ule uliohusisha wadukuzi wenye nia njema kuiba dola...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vyataka mchakato wa Katiba mpya uanzie pale ulipoishia kwenye BMK ili kuokoa fedha na muda

    Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa. Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
  14. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

    Habari za asubuhi watu wa Mungu nyie siyo watu wangu :cool: :cool: Leo nimewaza sana kwamba kuna vitu fulani au tabia fulan tunazo maishani zinatufanya tutumie hela rafu na kujikuta mwaka unaisha maisha yako yapo kama ya mwaka uliopita. Kuna baadhi ya mambo yanapelekea tunatumia fedha kidogo...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

    CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, hizi fedha anazotoa Mhe. Rais zinatoka kwenye fungu gani?

    Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu. Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
  18. JamiiForums Tanzania Unaweza tengeneza mfereji wa FEDHA pasipo KURISK?

    Inasemekana kwamba ili unase mfereji wa fedha lazima urisk moja au vyote ya vifuatavyo MUDA(TIME) UHAI(breath of life) MONEY Unapowekeza muda mfano kusoma shule, kujifunza skills tofautitofauti kunaweza kusaidia kupata FEDHA Unapohatarisha uhai wako kwa ajili ya kazi flani mfano KUIBA...
  19. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
  20. JamiiForums Tanzania Fedha inatoka wapi na inakwenda wapi?

    naomba wanauchumi watuelekeze kama kutakuwa na makosa 1. Fedha zote zinatoka bank kuu(BOT) kabla ya kusambazwa kwa raia na bank zote zilizochini ya benki kuu 2. Bank kuu inatengeneza fedha za aina mbili ya kwanza ni virtual(isiyoshikika) na ya pili ni paper money 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…