fedha

  1. JamiiForums Tanzania UCHAGUZI MKUU VS UWAZI WA VYAZO VYA FEDHA NS MATUMIZI

    Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu.. Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini vyanzo vya fedha husika vyapaswa kuwa wazi ktk muktadha wa kuepuka fedha chafu,Za maadui wa...
  2. JamiiForums Tanzania Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara wa Mtwara-Mikindani, wapewa mafunzo ya utunzaji fedha

    Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI...
  3. JamiiForums Tanzania Nanyamba wafikiwa na Elimu ya Fedha

    NANYAMBA YA FIKIWA NA ELIMU YA FEDHA Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Katika mji wa Mtwara, ambao unajulikana kwa shughuli za uvuvi na rasilimali za gesi asilia, serikali iliamua kutoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa wananchi, wajasiriamali, na watumishi wa serikali kwa lengo la kuwawezesha...
  4. JamiiForums Tanzania Madudu ya APP za mikopo online.Wizara husika Mnakazi gani ofisini??? #Wizara ya Fedha #Wizara ya Mawasiliano (TCRA)

    Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
  5. JamiiForums Tanzania Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku kutoa fedha taslimu wakati wa ukaguzi wa Vyombo vya Moto

    Jeshi la Polisi Tanzania Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa vyombo vya moto. Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima

    Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu. Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu. Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Fedha wa Masumbuko ashtakiwa US

    https://www.africanews.com/2024/07/18/mozambique-former-finance-minister-on-trial-in-us/
  9. JamiiForums Tanzania Mawaziri kuchukua fedha kutoka makampuni yaliyo chini ya wizara zao ni ufisadi!

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huyu Afisa anaichafua LATRA-Morogoro, anachukua fedha za stika na faini za Madereva Bajaji na kuanza kuwatisha

    Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana Wakubwa wake wa kazi wanajua michezo yake lakini nao wapo kimya. Afisa huyu ana mtindo wa kulazimisha...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi. Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

    Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu...
  13. JamiiForums Tanzania Hii haifai, Waziri wa OR Tamisemi anamkusanyia fedha Rais Samia ili agombee 2025 akiwa anafanya shughuli za kiserikali sio za kichama

    BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amepokea mchango wa shilingi 3,170,000/= wa madereva bodaboda nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

    Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara, Punde baada ya kumaliza chuo ,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile. Natembea barabarani kwa kuvimba Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani. Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa Dola badala ya shilingi linawapa shida Wafanyabiashara

    Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar. Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
  16. N

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
  17. JamiiForums Tanzania Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  18. JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  19. K

    JamiiForums Tanzania NI MUDA MZURI SASA KWA WAZIRI WA FEDHA KUJITAFAKARI ,IKIWEZEKANA AJIUZURU NAFASI IMEMPWAYA.

    NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA SWALA LA MAPATO NI MTU ANAEKURUPUKA BILA KUFIKIRIA WATANZANIA. SAY NO TO MWIGULU.
  20. JamiiForums Tanzania JPM: "TRA HAMFIKIRII" "WIZARA YA FEDHA HAMFIKIRII"

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…