faustine mafwele

Faustine Jackson MafweleFaustine Jackson Mafwele is a 47-year-old Tanzanian police officer of Mkerewe ethnicity and Christian faith, residing in Mikocheni, Dar es Salaam.

He holds the rank of Assistant Commissioner of Police (ACP) and serves as the Zonal Crimes Officer (ZCO) in the Dar es Salaam Special Zone of the Tanzanian Police Force.

His contact numbers, as publicly shared in accusations against him, are +255 755 855 743 and +255 787 922 913.

Mafwele is a senior officer responsible for zonal crime operations in Dar es Salaam.

However, he has been widely accused of leading a criminal gang within the police force involved in severe human rights abuses. These include:
  • Abductions and enforced disappearances: Multiple victims, including Tanzanian activist Edger Edson Mwakabela (known as "Sativa"), claim Mafwele ordered their kidnappings and transfers to remote areas like Arusha and Katavi for torture or execution attempts.

  • Torture and extrajudicial killings: Over 90% of complaints from families of disappeared or murdered individuals in Tanzania point to Mafwele as the orchestrator. He is feared even by superiors in the police hierarchy, from Dar es Salaam to headquarters in Dodoma.

  • Cross-border operations: Mafwele is implicated in the abduction and torture of foreign activists, such as Kenyan activist Boniface Mwangi (detained in 2024 over alleged involvement in anti-Finance Bill protests) and Ugandan journalist Agather Atuhaire (subjected to sexual assault and abuse). These acts are described as part of a state-enabled network of brutality spanning East Africa.
Victims and whistleblowers, including former Ubungo Mayor Boniface Jacob, have publicly exposed Mafwele on platforms like X (formerly Twitter), labeling him a "killing machine" and demanding accountability. Recent incidents (as of October 27, 2025) involve his alleged orders for the abduction of businessman "Niffer" in broad daylight, held at Oysterbay Police Station's "Garage" facility pending his "judgment.

"Public Perception and Ongoing ScrutinyMafwele is a polarizing figure, portrayed by critics as a symbol of state repression against dissidents, activists, and ordinary citizens under President Samia Suluhu Hassan's administration.

Tanzanian opposition groups like CHADEMA and human rights advocates have called for his removal, viewing him as emblematic of unchecked police brutality.

No official response from Tanzanian authorities or Mafwele himself has been reported, and investigations remain pending.
  1. Waufukweni

    Mafwele, wengine 42 kutoa ushahidi kesi ya askari wanaodaiwa kughushi vibali vya silaha

    Mashahidi 43, akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele, wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa, wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la...
  2. Cute Wife

    Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚 Sote tunajua kuwa mtu huyu...
  3. tucker carlson

    Kamanda Muliro: Kuhusu stori za Mafwele naona kama riwaya za kusadikika za Shabaan Robert

    Wakati kukiwa na sintofahamu ya ukweli wa alipo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO), Faustine Mafwele na kile kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametoa kauli. Hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii, watu...
  4. figganigga

    Afande Faustine Mafwele ni Mzima wa afya. Hajatekwa, hajahojiwa wala kukemewa. Yupo Ofisini kajaa tele kama pishi la Mchele

    Faustine Mafwele ni afisa wa ngazi ya juu ndani ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Assistant Commissioner of Police (ACP) pia ni Zonal Crimes Officer (ZCO) wa Kanda Maalum ya Polisi ya Dar es Salaam Special Zone. Ni kaimu wa Muliro (Kamanda wa kanda maalum ya Dar es Salaam. Kumbuka huyu ndo...
  5. Etwege

    Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

    Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya. Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul...
  6. Genius Man

    Unajiuliza huyu Mafwele anajikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ?

    Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau. Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa. inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye...
  7. Cute Wife

    GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  8. mwehu ndama

    Neno 'MAFWELE' lirasimishwe na BAKITA, litumike kuashiria 'MAOVU'

    Kulingana na roho yake ya kinyama na matendo yake ya kinyambilisi, yaliyochangia pakubwa kuleta simanzi kwa familia nyingi za waTz, tunapaswa kuishi na kumbukumbu ya milele kumuhusu mtu huyu. Kuanzia sasa tunaomba mabalaa ,yote na majanga makubwa kama ukimwi, U.T.I sugu ,Kswende, Gono, ajali...
  9. Consigliere

    GE2025 Baada ya kuisikiliza hii audio ya Mafwele, ni dhahiri Maandamano hayakuanzishwa mitaani, bali yameanzishwa na waliomo ndani ya Mfumo

    Ndani ya hii audio clip kuna mambo kadhaa yanayotoa picha kubwa ya kile kinachoendelea na kukemewa nchini Tanzania. Kwanza, na kwa umuhimu mkubwa zaidi, Mafwele amekiri wazi kwamba yeye ndiye anayeongoza operesheni zinazolalamikiwa nchi nzima, ikiwemo ukamataji, mauaji, na watu kutoweshwa...
  10. kagoshima

    GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

    Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu. Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity. Kuna...
  11. DuaZaMama

    Dkt Azaveli Lwaitama: Mafwele anatakiwa kujiuzulu kwa sababu ya tuhuma za utekaji

    Leo katika kumbukizi tunamwangizia Dkt. Azaveli Feza Lwaitama, ambaye aliwahi kusema kuwa afisa wa polisi aliyetajwa kuhusika na utekaji wa Sativa, na kutajwa tena na Mbowe, anapaswa kujiuzulu au kuwekwa pembeni hadi uchunguzi ukamilike, ili kudumisha heshima ya Jeshi la Polisi. Pia Soma: Mpya...
  12. Ex Spy

    Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

    Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP. Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”. Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
  13. H

    Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  14. Cute Wife

    PreGE2025 Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?

    Wakuu, Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar. Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele? Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa...
  15. Mindyou

    Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kibali cha BoT, wakiwemo wafanyakazi wa Kampuni ya Leo Burnett London (LBL) na mkurugenzi wao, Najim Houmud. Watuhumiwa hao walikamatwa kati ya Februari 18...
  16. F

    Hivi kwa tuhuma za Boni Yai na tuhuma za ACP Faustine Mafwele nani anastahili kufuatwa kwa mitutu na mbwembwe za Polisi?!

    Mimi ni Mwana CCM lakini wakati mwingine naona hadi aibu nikiwa na Watu wenye akili around! Kwanza Hongera sana Comrade Balozi Dr.Emmanuel Nchimbi kwa press uliyofanya hivi karibuni! Nimekubali kwamba ni kweli umekomaa na uliandaliwa vizuri ndani ya CCM kupitia UVCCM! Hayati Mkapa aliona kitu...
  17. D

    Ushauri: Kamanda Faustine Mafwele mfungulie kesi Sativa

    Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya kichwa. Sativa amejitokeza hadharani na kumtaja kuwa Kamanda wa Polisi, ACP Faustine Mafwele wa...
  18. Mindyou

    Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  19. Stuxnet

    Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

    Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya wakosoaji/ wanaharakati wa siasa. 1. Namna alivyomtambua ZCO MAFWELE Siku ya kwanza nimeongea story...
  20. Msanii

    PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
Back
Top Bottom