Haya makundi mawili ya waigizaji yamejizolea umaarufu sana kwa kutengeneza filamu kali zinazobamba saaana.
EXPENDABLE = hii series ya movies imesheheni Waigizaji wakongwe na waliotamba saana kipindi cha nyuma na hadi leo bado wapo gado saana mixer waigizaji vijana, sina sababu ya kuwaorodhesha...