fanya

Agafangel (Russian: Агафа́нгел) is an old and rare Russian Christian male first name. The name is derived from the Greek name Agathangelos, which in turn derives from the words agathos—meaning kind, good—and angelos—meaning bearer of news, messenger.The diminutives of "Agafangel" are Aga (А́га), Fanya (Фа́ня), and Agafangelka (Агафа́нгелка).The patronymics derived from "Agafangel" are "Агафа́нгелович" (Agafangelovich; masculine) and "Агафа́нгеловна" (Agafangelovna; feminine).

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Moja ya kosa kubwa nililowahi fanya alibaba nakuomba usithubutu next time

    Huenda ikawa coincidence tu lakini ni ni muhimu kuwa makini ni sana watu wanaingia kununua vitu bila kujua kuwa supplier anavyo kwenye stock au Hana au ni dalali au non technical anaefungasha tu limzigo na iukuletea kisha kikikushinda anawasumbua wale jamaa wakupe majibu ya msaada unaona hayuko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKILAZIMISHA AKUCHAGUE ANAWEZA FANYA HIVYO ILA BAADAYE ATAKUGEUZA MTUMWA WAKE

    Umewahi kulazimisha kupendwa? Matokeo yake yalikuwaje? Yawezekana ulilazimisha na kweli utafanikiwa akakubali kuwa na wewe ila ndani ya huyo mtu kuna mtu mwingine anaishi na sio wewe. Kuna uwezekano akakufanya mtumwa kwa sababu anajua huna kiasi kwake hivyo anatumia udhaifu huo kukuendesha ...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania muajiriwa mwenye check no. Naweza Fanya interview

    Habari Wana JF Mimi ni muajiriwa sehem flan nimeshapatiwa check no. Ila bado sijathibitishwa kazin lakin kabla ya hii ajira kunataasisi ya serikali nilikua nafanya kaz kwa mkataba na nilikua mmoja kati ya watu niliepewa kipaombele Cha kufanya interview ya hiyo tasisi pindi wanapohitaji kuajiri ...
  4. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!

    Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye! Umekutana na mwanaume, amekutongoza kwa muda mrefu, au hata hakutumia muda mrefu lakini mwanzo hukuwa unamuelewa. Ulikuja kumuelewa na sasa mmeingia kwenye mahusiano, ukakubali kulala naye. Kabla ya kulala naye, alikua mtu wa kukupigia...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

    Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
  7. JamiiForums Tanzania Je, umewahi fanya jambo gani la kutisha ulipopata hasira?

    Watalaam wasalaam! Hasira hasara, je umewahi kukasirishwa sana na ulifanya kituko gani? Ngoja nianze, kwa kawaida mimi ni kijana mpole mkimya japo nikiwa na mtu ambaye tumematch chemistry ninachangamka kidesign though sipendi sana kampani na watu..being alone mostly naenjoy tu mitindo...
  8. JamiiForums Tanzania Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Fanya settings hizi kulinda accounts yako ya Meta

    HATARI TATU ZA KISIRI KWENYE META UNAZOPASWA KUZIZIMA MARA MOJA! Katika ulimwengu wa kidigitali, kila ‘like’ unayobonyeza, kila kitu unachoangalia, na kila chapisho unachotazama—kinafuatiliwa. Meta (Instagram, Facebook, na bidhaa zake nyingine) hutumia taarifa zako kukut bombard na matangazo...
  11. JamiiForums Tanzania Marlow popote ulipo fanya remix ya kibao cha Bado Umenuna unaweza kurudi kwenye game

    Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna. Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza. https://youtu.be/hV7ECjCPBbQ?si=_YJETZ1JYb4nOiUD
  12. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kwa lugha yeyote utajibiwa!

    Salamu wakuu! Leo nimeona nishee nanyi hii kitu, Fanya hv andika hii namba kwenye simu Yako +1 800-242-8478 Kisha Isave ujuavyo, Kisha nenda whatsup itafute, ukishaipata kwenye sehemu ya kutafuta majina ya namba ulizosevu, Anza kuchat nayo italeta jina chatGPT ukiwa unachat nayo! Hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Fanya hivi Utanishukuru badae😅

    Usiku wa leo ukipigiwa simu na mpenzi wako, Kata simu mtumie message "AMELALA" alafu zima simu lala. Utakuja kunishukuru kesho asubuhi 😁.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lissu fanya yafuatayo kukomesha huu upuuzi wa kutishana

    1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea. 2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani. 3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha...
  15. JamiiForums Tanzania Visa vya pedophiles vinazidi kuongezeka kwa kasi hapa bongo. Kama mzazi hivi ndivyo unavyoweza fanya angalau kulinda mabint ako wadogo dhidi ya pedos

    Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video. pili, haijalishi udogo wa mtoto ila usimu expose na kuchezea simu yako na kufahamu mienendo ya social media. Siku izi watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa Wife material na bado Dunia ikawa kinyume na wewe. Ndoa ikawa ngumu kwako. Fanya haya.

    UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa. Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
  17. JamiiForums Tanzania Fanya hivi usiku wa manane

    Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky.. Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo. Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo...
  18. JamiiForums Tanzania Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  19. JamiiForums Tanzania LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  20. JamiiForums Tanzania Kama una shida ya nguvu za kiume fanya hivi

    Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda. Facts: 1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa. 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…