familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

    habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume. Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya roho huja duniani ili tu kufunga kurasa ambazo familia zao waliziacha wazi

    Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation... 1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani. Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi

    Mazishi yanapaswa kuwa wakati wa kuaga wapendwa, kutafakari maisha yao na kuwafariji waliofiwa. Lakini kwa Padri Gichure, hafla ya mazishi ilikuwa pia wakati wa kuhoji ukweli wa simulizi zinazotolewa kuhusu marehemu. Padri huyo aliikosoa familia iliyokuwa ikiwasilisha historia ya marehemu...
  6. JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Familia ya Urassa imesema haitaruhusu ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao Kijiji cha Nkuu Sinde, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Jane Urassa, ikieleza kuwa wanaotaka kumuaga wataruhusiwa kuhudhuria ibada itakayofanyika kanisani pekee. Msemaji wa familia...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makabila wanawake husifiwa uvumilivu, wasiofuata mali, hujenga familia za kudumu hadi kifo na huchepuka kwa tahadhari bila kuvuruga ndoa zao

    1. Wabena 2. Wahehe 3. Wasukuma 4. Wakurya 5. Waha Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
  9. JamiiForums Tanzania Unapokataliwa na mwanamke usiumie wala kujiona hufai. Kisaikolojia Wanawake wamebobea kufanya bad decisions

    UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo. Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea...
  10. JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kutatua Migogoro ya Ndoa na Kulinda Ustawi wa Familia

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Ndoa ni taasisi kubwa na nzuri sana, lakini pia ni mahali ambapo watu wawili wenye asili, mitazamo, na malezi tofauti kabisa hukutana na kuishi pamoja chini ya paa moja. Kutokana na ukweli huu, migogoro au kutokuelewana ni jambo la kawaida na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Alipost chats kuhusu ujauzito wangu kwenye group la familia, huu sio udhalilishaji?

    Ila mimi naye nimeshapitia mengi jamani😭 Wakati nipo chuo, sitasahau siku nilipomtaarifu dada yangu kwamba nina ujauzito. Wiki mbili baadaye tukagombana. Kama njia ya kunikomesha, akachukua zile chats kwenye group la familia ambako mama na baba wote wamo. Nilifuta WhatsApp hapo hapo. Sikuwai...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia. Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua...
  13. JamiiForums Tanzania Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

    Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi. Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi. miongoni mwa mambo mengi...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa acha dharau, toa pole kwa familia ya Chivayo

    Tangu ndugu Samia aende eda, msigwa amekuwa mzembe sana. Ona sasa mama amepata msiba wa rafiki yake wa karibu, yeye kashindwa kujiongeza kutuma salamu za pole kwaniaba ya Samia Suluhu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
  16. JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William Ruto tayari ametuma salamu za pole, akimtaja Chivayo kuwa rafiki yake na kutoa pole kwa familia na watu wa Zimbabwe.

    Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha Wicknell Chivayo na mke wake, Lucy Muteke. Ajali ilitokea 30 Septemba 2026 huko Marondera, Zimbabwe, na...
  18. JamiiForums Tanzania Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  19. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machozi ya Kina Mama Makwa: Pombe Haramu Inaacha Familia Zikilia Tena

    Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya. Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa

    CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa. Kama sio chawa basi wewe ni fisi mwoga. Watu ambao wanajiamini ni familia za Karume, Mwinyi, Samia na Kikwete.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…