familia yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sijutii kukataa kupewa nyumba nzuri na baba mkwe, nina amani sana na familia yangu kwenye nyumba ya kawaida niliyopanga

    Wakati wa kufunga ndoa, baba mkwe alipendekeza kutupatia nyumba yake, Ilikuwa ni nyumba ya kisasa, ikiwa na baadhi ya samani tayari. Baada ya kutafakari kwa kina, niliamua kukataa pendekezo hilo. Badala yake nilirudi na mke wangu kwenye nyumba ndogo ya kupanga. Ingawa ilikuwa ndogo, amani ya...
  2. dr namugari

    Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

    Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na...
  3. Desierto

    PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua. Kama Kuna mtu anisaidie maana...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbowe: Familia yangu imeniambia niachane na siasa

    Kumekucha huko! Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine. Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya kujikacha katika kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya uwenyekiti wa CHADEMA? ======================...
  5. Waufukweni

    Waziri Aweso: Familia yangu ni masikini, nimepata Uwaziri kutokana na elimu

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni rasmi. Akizungumza katika hafla hiyo, Aweso amesema: "Mimi familia yangu ni masikini, nimefikia...
  6. E

    Hofu yangu juu ya kuishi bila mke

    Habarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta mke kwa hofu ya kukosa fedha. Naombeni kufahamu kama kuna binti yoyote ambaye yupo tayari kuishi...
  7. Kazanazo

    Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

    Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna. Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla. Wakuu, kwa...
  8. Kaunara

    Nijifiche wapi wakati wa vita mimi na familia yangu?

    Kutokana na hali inavyoendelea Duniani ipo siku hayawi hayawi yatakua. Nimeangalia movie nyingi za world war II pia mauji ya Rwanda. Ukweli familia nyingi hazikujiandaa walidhani ni uzushi haliwezi kutokea. Wale ambao waliamini lingeweza kutokea wengi watusi walikimbia nchi yao na kwenda nchi...
  9. Dkt. Gwajima D

    LGE2024 Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi...
  10. Escobber pablo

    Wanaume tujali Familia zetu

    Wanaume jalini wake zenu pamoja na watoto zenu kwa upendo na maadalii mema Ili tujenge Taifa Bora. Eee Mungu tusaidie sisi wanaume utusamehe mazambi yetu. Baadhi ya Wanaume wengi wanakwepa majukumu yao katika familia na wengine hunyanyasa familia zao na kulewa pombe na kutohudumii familia zao...
  11. D

    Familia nzima tumefeli kila ndoto imegeuka alinacha, hatuna muelekeo kabisa

    Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha. Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha...
  12. Shammy-

    Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

    Hakuna kitu kinaninyima raha maishani kama kuzaliwa peke angu kwenye tumbo Moja🥺 Najua ni mipango ya Mungu ila huwa naumia sana. Natamani ningekuwa na ndugu wa damu hasa wa kike wa kushare nae mambo yangu binafsi kwenye shida na raha kwa sababu Kuna mambo ambayo kabla mtu huja share na mzazi au...
  13. Melki Wamatukio

    Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  14. Mr Why

    Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

    Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka...
  15. amshapopo

    Niyaonayo kwenye familia yangu; Vijana tuna la kujifunza kwani nasi ni wazee watarajiwa. Soon tutaumbuka!

    Nisiwachoshe! Nimezaliwa kwenye familia ya pangu pakavu tia mchuzi tule. Tupo watano, wote tumesoma Hadi elimu ya juu ila wenye kazi ya uhakika wa kipato yaani ajira maalumu ni watatu. Mzee alistaafu miaka mitatu iliyopita na kufanikiwa kupata kiinua mgongo not less 50ml sasa hivi ni mwendo wa...
  16. Hakuna anayejali

    Ingekuwa familia yangu nimeelekeza haibadiliki ningesema jinga kabisa nawawajibisha.

    Serikali isyoijali hali za wananchi wake ktk huduma mbalimbali kama umeme kukatika Kila mara,dawa hospitali tabu,mabilioni yanaibwa na watendaji wa serikali na serikali haichukiwi hatua ya kuwawajibisha wezi hao.pesa zinazoibiwa zingeweza kutumia ktk mambo ya maendeleo lakini tunajirudisha nyuma...
  17. wake up

    Niokoe niiokoe familia yangu

    Habari za wakati huu? Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa. Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi...
  18. Desierto

    Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  19. Mohammed wa 5

    Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu. Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
  20. P

    USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

    Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu. Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa...
Back
Top Bottom