faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwekezaji wa Dp World waanza kuiletea faida Taifa letu. Tril 1.5 zaokolewa. Tulikuwa tunapata hasara kubwa. 2025 Wapinzani msithubuku kuweka wagombea

    Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
  2. K

    Soko la faida kwa mazao ya chakula

    Binafsi mapenda kufanya kilimo cha biashara japoo sio kwa ukubwa huo ila hofu yangu soko lenye faida kwa mkulima lipo?!
  3. M

    Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  4. Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa, faida yake na mtu unawezaje kushiriki

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki.... Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni. 1. KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
  5. Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

    Simba na yanga Ccm na chadema . Mke wa MTU na mme wa MTU . Kupiga mtungo na kupiga mende Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
  6. Tuzungumzie faida za kujamba

    1. Kusaidia Kutoa Gesi na kinyesi: Kujamba husaidia kutoa gesi na kinyesi ambazo mwili umekusanya, na hivyo kusaidia kuzuia matatizo kama vile uchungu au kuhisi kukojoa mara kwa mara. 2. Kusaidia Kuzuia Vidonda na Matatizo ya Tumbo: Kujamba husaidia kusafisha na kuondoa viumbe hai wanaopungua...
  7. Faida za kufanya masturbation

    Masturbation ina faida kadhaa kwa afya na ustawi wa mtu binafsi, lakini ni jambo la binafsi na inaweza kuwa na athari chanya na hasi pia. Kwa hivyo ni vyema kutambua faida zake na kuishi katika uwiano. Hapa ni baadhi ya faida 10 muhimu za kufanya masturbation: 1. Inapunguza msongo wa mawazo na...
  8. Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  9. Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  10. Uongozi unaoacha alama hii ndio faida ya bomba la mafuta

    Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
  11. Rais Onyesha Mfano wa Kuheshimu Mamlaka Zilizopo Kisheria ili Iwe Mfano na Faida Kwako Ukistaafu.

    Nimesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu iliyo chini ya Jaji anayeheshimika kuhusu hukumu ya RC wa Arusha na kwamba mpaka dakika hii hujachukua hatua yeyote. Huku ni kuonyesha dharau kwa mamlaka hiyo ambayo ipo kikatiba na chombo kikubwa cha msaada kwako katika...
  12. Biashara ya Nafaka mtaji mkubwa faida kiduchu

    Hii biashara ni nzuri na inatoka lakini bila kua mjanja mjanja basi kutoboa ni ngumu sana, zaidi ya kupata hela ya kula tu kwasababu faida yake kwa kila kilo ni tsh 50-100...haiwezi kuzidi hapo. Nilikua na million 6 nikasema nikaangalie swala la mahindi, unaweza kujaza gari la tani 10, gunia...
  13. Faida na hasara za Wachezaji wa kigeni kwenye Ligi Kuu ya NBC

    Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na: Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
  14. Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  15. Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  16. Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

    Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
  17. Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  18. Dondoo Muhimu Kuhusu Kusimamia Na Kumiliki Hosteli Za Kupangisha Kwa Faida

    Utangulizi. Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo. Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
  19. Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  20. Faida za kiafya kwa wanawake zitokanazo na kufikishwa kileleni (orgasm)

    Tendo la ndoa linafaida kubwa kiafya kwa mwanaume na mwanamke. Leo nitazungumzia zaidi faida za kiafya anazopata mwanamke pale anapofikishwa kileleni wakati wa tendo. Iko hivi; wakati mwanamke anapofika kileleni, mwili wake huwa unatoa hormones za "dopamine" na "oxytocin" ambazo ndizo humfanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…