fahamu

  1. JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya Jihad imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi mbalimbali, hali iliyosababisha Waislamu kushutumiwa kwa ugaidi. Watu wengi, wakiwemo Waislamu wenyewe, hawana ufahamu sahihi wa maana ya Jihad kulingana na Qur’an na Sunnah. Makundi kama Al-Shabaab, Al-Qaeda...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5 Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  7. JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU ANTIMATTER

    Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama Solids,liquids,gasses na plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {subatomic particles} inayoipa matter uzito{mass} na ujazo{volume} yake, hizi partcles inajumuisha protons na...
  8. JamiiForums Tanzania FAHAMU UNAKABILIWA NA KUTOEPUKIKA

    BARUA YA 53 KWA ULIMWENGU Maisha kutokuwa na hakika na mabadiliko havipingani, kwakua vyote vipo ili kukamilisha jambo fulani ndani ya Maisha ya kiumbe hai, katika dhana ya kuwepo katika ulimwengu Hii ndiyo hasa hujibu swali hili, kwanini maisha yanaleta mateso , mateso ya maisha ni somo...
  9. JamiiForums Tanzania Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

    Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana Kilicho Nichanganya ni Mtumaji . Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link Kutoka Sehemu...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una hizi dalili fahamu tu kuwa umelaaniwa

    Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa. Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse. Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula this is curse . Ukipata hela haukumbuki kufanya maendeleo this is curse . Una miaka mingi Ila akili...
  11. JamiiForums Tanzania Katika ndoto yako ya ujenzi- Fahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa ile nyumba, jengo lako

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress 📲 +255 657 685 268 Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu faida ya mmea huu wa Nopal

    Napal cactus ni mmea wenye asili ya jangwani hasa unapatikana maeneo ya Afrika, Amerika na Asia. Kutokana faida zake na muingiliano wa watu imefanya kusamba maeneo mbalimbali duniani kote. Nopal imekuwa chakula pendwa zaidi Mexico, Asia na baadhi ya maeneo ya Afrika magharibi. hutumika zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mbunge fahamu tu umebakisha miezi mitano tu kuanzia sasa .

    Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni . Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana . Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).🇹🇿
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu Makundi Mbalimbali ya Vijana Wanaokaa Vijiweni (Jobless)

    Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi Content Creators wanavyojiingizia kipato

    Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili. Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube) Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization. A. Kulipwa na platform husika...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kupooza Uso/mdomo (Facial Paralysis): Mdomo kusogea upande: Visababishi na Matibabu

    Picha kwa hisani ya Google. Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu Kazi ya briefcase inayobebwa na walinzi wa raisi au viongozi wakubwa.

    Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
  19. JamiiForums Tanzania fahamu imani hizi za aina mbili kisha jitafakari kuwa wewe ni mfuasi wa imani ipi kati ya hizi kwenye haya madhebu wasabato, waislam, wakatoloki,

    post closed
  20. JamiiForums Tanzania Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…