Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana...
Mgombea ubunge jimbo la Buchosa Eric Shigongo amewaambia watu wa Sengerema kuwa CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani, ikiwa hii ndio sababu ya watanzania wanapaswa kukiamini CCM.
Ameyasema hayo leo Oktoba 07, 2025 akiwa katika mkutano wa kampeni wa chama hicho Sengerema mkoani Mwanza.
Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.
Vipi mnakubaliana naye?
Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameongoza tukio la wagombea wa CCM kupiga magoti mbele ya wananchi kuomba kura Jimbo la Muleba, akiwemo Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba, Alipoenda kuzindua Kampeni Kata ya Muleba Mjini.
Tukio hilo llilenga kuomba kura kwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
Eric Higongo, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Dk. Oscar Ishengoma Kikoyo na mgombea udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Mhaji Bushako wameendelea na kampeni ya kusaka kura za Dk. Samia Suluhu Hassan.
Shigongo amewaambia...
“Kazi ya maendeleo itafanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mimi pamoja na ninyi wananchi. Ninatakiwa kuwa na wasaidizi wengine ambao ni madiwani wa CCM, hivyo kazi kubwa kwetu ni mwezi Oktoba kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura,” alisema Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo...
Wakuu wa JF, nimekutana na video inaonyesha wananchi wa Buchosa wakitoa maoni wanamsifia aliyekua Mbunnge wao ambaye tena ni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM Eric Shigongo. Imenifanya nifuatilie hayo maendeleo wanayozngumzia yamefanyika kipindi gani? na kwa nini kipindi hiko?
Nimegundua...
Buchosa imeitika! Sikiliza wananchi mbalimbali wanavyotoa maoni yao kuhusu kazi zilizofanywa na mbunge aliyemaliza muda wake na mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa mara ya pili, Eric Shigongo.
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini.
Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Wakuu,
Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi
Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.
"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa (CCM) anayemaliza muda wake na mtia nia wa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine, Eric Shigongo, amesema kipindi chake cha miaka mitano bungeni kimekuwa kigumu na hakujawahi kufurahia nafasi hiyo kutokana na changamoto nyingi alizokutana nazo.
"Nimekuwa Mbunge...
Mamia ya wananchi wa Kata za Nyakaliro na Irenza walijitokeza kwa wingiJulai 3, 2025, kushuhudia makala za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Buchosa, chini ya uongozi wa Mbunge wao Eric Shigongo
Zoezi hilo limeendelea kufanyika katika kata hizo ambapo wananchi waliwasilishiwa...
Mbunge wa Buchosa anayemaliza muhula wake wa kwanza, Eric Shigongo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa muhula wa pili, zoezi lililofanyika katika Ofisi za CCM Sengerema
Shigongo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu...
CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi Bungeni.
Eti watu wanapokea rushwa gizani alafu wanazirudisha mbele ya kamera.
Nomsensical...
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanafunzi wa vijijini sasa wanasoma mubashara na walimu walioko jijini Dar es Salaam kupitia mradi wa Darasa Janja. Huu ni ubunifu wa kipekee ulioanzishwa na Mbunge wa Buchosa, Mheshimiwa Eric Shigongo, ili kutatua kwa vitendo changamoto ya upungufu wa walimu...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo,
Wananchi wa Buchosa wamemshukuru Shigongo na kuahidi kushirikiana naye kwa miaka mingi ijayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.