entertainment

  1. Nafaka

    Wasafi TV ni Bora sana kuliko TV nyingi za entertainment

    Nimekua mara moja moja nikitazama hii TV, jambomoja nililogundua ni kwamba Naseeb hafanyi mambo ya kubahatisha akifanya kitu anafanya kweli. Wasafi TV kuanzia muonekano wa picha, vipindi vyao vinavyotengenezwa, wako vizrui compared na TV kama clouds iliyokuwepo kabla yao. Mimi nimekuwa mpenzi...
  2. Chief Mtangi

    Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
  3. bahati93

    B Dozen conflict of interest

    Habari comrades. Conflict of interest ni tukio ambolo taasisi ya jamii inapotumiwa kwa manufaa binafsi ya mwajiriwa wake. Kwenye hii mada taasisi ya jamii nayolenga ni kituo cha Radio Clouds FM na mwajiriwa wake anayeleta shida ni B Dozen al maruufu B Twangala, Hamisi Mandi na mengineyo. Hichi...
  4. Sky Eclat

    Entertainment is in African gene

    https://fbwat.ch/1iudDzBgB9R9JCPD
  5. ozalla

    Kanye West stay off From Politics, Focus on creativity

    The father of three Kanye West has announced on Twitter on Tuesday, that he taking a step back from politics after been heavily criticized for supporting President Donald Trump. The announcement comes after the rapper debuted a line of apparel for the “Blexit” campaign that encouraged...
  6. Ack

    Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  7. Ack

    Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
Back
Top Bottom