eneo

  1. JamiiForums Tanzania Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  3. JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Tabata Bima

    Eneo lenye Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Bima, Dar es salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba eneo la viwanda misugusugu

    Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics. Jirani ni msikiti, na kiwanda cha tissue 5,865 sqm Urefu 141.01m Upana 45.62 Bei 18.75M Dalali 10%(kwa dalali akileta mteja) Umbali...
  5. JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Tegeta Namanga

    Eneo linauzwa, Lina nyumba 3 ndani yake. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo. Ukubwa: SQM 1204. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 0767...
  6. JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Makumbusho

    Eneo linauzwa Makumbusho. Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower. Sifa za Eneo: Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road). Liko barabara ya kuelekea kituo cha Daladala Makumbusho. Linafaa kwa matumizi yote, biashara au makazi. Ukubwa wa Eneo: SQM 988. Nyaraka...
  7. JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Responded Eneo la Tegeta - Kwa ndevu uchafu unarundikwa eneo la barabara kama dampo, wasimamizi wako wapi?

    Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  11. JamiiForums Tanzania Plot4Sale INAUZWA Eneo linauzwa, Chamwino Dodoma

    ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres). MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma. DIRECTION LINK...
  12. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Morogoro eneo la heka 7 linauzwa kila heka 1 ni million 2

    Eneo la heka 7 linauzwa ni sehemu nzuri kwa uwekezaji lipo maeneo ya Lugono Nyama choma karibu na Chuo cha Mzumbe
  13. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

    Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barrick yasema eneo la mgodi wake nchini Tanzania limegeuka kuwa ‘kambi ya kijeshi

    Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama mikuki na mapanga. Affidavit na ushahidi mwingine uliotolewa na mameneja wa Barrick, ambao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

    Habari Wadau, Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili. Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara Dar es Salaam

    Natafuta eneo la kuweka mwamvuli mahali palipochangamka kwa Dar kwa ajili ya biashara ya kukaanga kuku. Ipo 20k. 0678225164
  18. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…