MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini...