elimu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam. Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477
  2. JamiiForums Tanzania Prof Mkenda Unaiua Elimu yetu

    Waziri wa Elimu na Mbunge wa Rombo kwa mwenendo huu anaenda kuua zaidi Elimu yetu. Ukiangalia katika uwekezaji wa Elimu yetu ,Waziri Mkenda amehamishia nguvu kubwa katika uwekezaji katika programs za vyuo vikuu na kusahau uwekezaji katika vyuo vya kati katika fani mama kama : Kilimo,afya,ufundi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inashangaza sana: Afisa Elimu adai walimu wanaoomba kuhamia CHAKUHAWATA ni wanaharakati wa vyama pinzani!

    Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako). Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
  4. JamiiForums Tanzania Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  5. JamiiForums Tanzania Elimu ya Sekondari Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    ELIM ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Ukubwa wa Jimbo letu: Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374 Idadi ya sekondari Jimboni mwetu: +26 za Kata zinatoa elimu +2 za Binafsi zinatoa elimu +3 mpya zinajengwa kwa fedha za Serikali Kuu. Wanavijiji kuchangia nguvukazi +3 mpya...
  6. JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao...
  7. JamiiForums Tanzania Nani ana ufahamu juu ya elimu ya falaki?

    Habari wakuu. Nimesikia tetesi hii ni elimu muhimu sana kuifahamu. Je, nani anaifahamu atueleze kidogo
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi nawasimamisha kazi, mnapelekwa Mahakamani

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo. Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika. Bwalo hilo lilipangiwa sh...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la interveiw kwa kada ya afya naipongeza serikali iwe hivyo pia kwa kada ya elimu

    Habari wakuu? Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Kama elimu ni ghali basi jaribu UJINGA

    JWTZ kwa kirefu ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA moja ya majeshi imara sana katika Ukanda wetu. Kuna kipindi wakati wa utawala wa Mh JOSEPH POMBE MAGHUFULI (RIP) walifanya onesho la mapigano na kulinda mipaka huku wakimualika Rais wa nchi kushuhudia. Kisha katika HOTUBA yake waziri wa ulinzi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

    WanaJF! Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na utalii, sekta hii kama ikiweza kusimamiwa vizuri, sio tu itaipatia serikali mapato yake, bali itaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Wanahitajika walimu wa elimu ya awali(early education)

    Sharing is Caring! Kama una sifa zote za kutoa elimu ya awali tuwasiliane nikupe connection katika shirika flan! Nafasi ni mbili! Asanteni!
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Usawa katika elimu uzingatiwe

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga dhana ya kumbagua mtoto wa kiume na kumkweza mtoto wa kiume akitangatanga bila ya msaaada wowote ule...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Elimu na Teknolojia: Njia Kuu ya Kufikia Tanzania Tunayoitaka

    Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Andiko hili linapendekeza mbinu za kibunifu ambazo zinaweza...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Maandiko ya Story of Change yanaafiki hitaji la mfumo wa elimu wa nchi 2025-2030

    Toka mtandaoni UTANGULIZI Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini...
  16. JamiiForums Tanzania Simba muwape wanachama wenu elimu ya mpira ili kuepusha maafa na presha kwa viongozi, muwaambie ukweli!

    Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu. Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
  17. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 MABORESHO Bora ya Elimu Tanzania

    Wizara ya Elimu Tanzania
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho Sekta ya Elimu Tanzania kwa miaka kumi na tano (15) ijayo

    Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu. Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miaka 5 /10 ijayo tunataka kuona mitaala ya elimu ya juu kusukwe upya ili imwezeshe mhitimu kuwa na ujuzi unaomwezesha kujiajiri/kujiajiri

    Elimu ni nyenzo muhimu saana kwa mwanadam kupambana na mazingara yanamzunguka. Ikiwa elimu hiyo haimwezeshi kupambana na mazingira hiyo elimu inakuwa kiwazo kwake hivyo humpatia mazingira magumu saana. Zamani mababu na mabibi zetu waliweza kufundisha vijana kwa kuwapatie elimu kwa vitenda ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…