Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiwa Pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mheshimiwa Wanu Hafidhi Wameweza kukutana na kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya wanafunzi wa Elimu ya juu.
Ambapo...
Elimu kwa muda mrefu imekuwa ikipimwa kwa vigezo finyu vinavyojikita zaidi kwenye matokeo ya mitihani kuliko mchango wake halisi katika maendeleo ya mtu na taifa. Katika mjadala wa kila mwaka wa matokeo ya mitihani ya kitaifa, nguvu kubwa hutumika kuhesabu ufaulu na kufeli, huku maswali muhimu...
TAARIFA KWA UMMA
Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao:
Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
Habarini nyote....
Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa hali ya kuwa nipo chuo cha kati na niliweza kusoma advance na kufaulu division II sema ilinilazimu nianze clinical medicine diploma.
Hivyo nimefanya machaguzi kubadilisha course...
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea kwa taasisi karibia zote za serikali kuweka namba geresha na wala hazitumiki katika kuwafikia watoa...
Kuna sababu gani yakutumia wiki nzima au wiki mbili kabisa kufanya verification ya cheti cha kuzaliwa?
Kwamba muombaji asubiri hadi hizo wili mbili au moja ndio aendelee kufanya application kweli? Huu ni uzembe mkubwa.
Wadau ninyi mmefanikiwa kuverify vyeti vya kuzaliwa?
Toka tarehe 2 hadi leo...
Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika ujumbe huu.
Nikiwa Karagwe, nilianza mchakato wa maombi kwa njia ya mtandao. Kila nilipoingiza RITA...
Washiriki wa maonesho ya elimu ya juu yanayoendelea visiwani Pemba wamevutiwa na banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), ambapo wengi waliotembelea banda hilo kupata elimu juu ya huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa wamepongeza.
Afisa Uhusiano wa MOI, Bw. Abdallah...
Matokeo ya Form 6 yametangazwa, lakini kwa wazazi na walezi wa mikoz ya kanda ya mashariki na Kanda ya Ziwa, haya si matokeo ya furaha bali ya mateso.
Kigoma, atavi, Tabora, Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara huwezi kukuta chuo cha serikali chenye degree ya Law wala Degree za...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na mshirika mkuu wa muungano wa serikali, chama cha Democratic Alliance (DA). Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na ofisi ya rais, ikiwa ni...
Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka.
Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
Anonymous
Thread
avn
diploma
elimuelimuyaelimuyajuu
habari
jana
kikuu
maendeleo
maendeleo yaelimu
mwaka
mwanza
taasisi
wahitimu
Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili.
Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025.
Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, ikiwemo hatua ya kufungia baadhi ya fani au programu kwa kutoa maagizo ya ghafla yasiyozingatia muda wa kitaaluma...
Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, kwa kutoa maagizo ya ghafla yasiyozingatia muda wa kitaaluma unaohitajika ili kuandaa mabadiliko yenye ubora na tija...
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.
Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote...
Anonymous
Thread
changamoto
elimuyajuu
heslb
kijiji
mikopo chuo kikuu
number
watendaji
Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya;
1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au,
2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au,
3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD).
Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.