elimu bure

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

    Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi. Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Kati ya AFYA bure na ELIMU bure nini kinapaswa kutangulia?

    Hello! Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya. Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja. Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Bungeni Leo: Sera ya "elimu bure" kufutwa? CCM kama kawaida yao wanatanguliza mbunge Kasheku Msukuma kupima upepo. Wewe unasemaje?

    Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015.. Kuna kila dalili kuwa Msukuma ametangulizwa na CCM kulichokoza...
  4. G.Man

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

    Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada. Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma. Je, hii si shule ya Serikali, au?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ada kwa shule za Msingi na Sekondari zimerejeshwa tena?

    Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000 Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea. Maendeleo hayana vyama!
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
Back
Top Bottom