Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
Hii sera ya elimu bure ilikufa na Magufuli. Kwa sasa elimu katika shule za umma ni gharama kubwa kuliko hata binafsi.
Bila Tsh 600,000 mtoto haanzi kidato cha kwanza.
Wazazi wananunua madawati, viti, meza, chakula, nk.
Wazazi wanalipa pesa za walimu wa kujitolea maana walimu hawatoshi.
Wazazi...
Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
Anonymous (6198)
Thread
elimuelimubure
kazi
nyampulukano
sengerema
shule
takukuru
Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Londoni ya manispaa ya Songea amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuanzisha utaratibu wa kuwataka wanafunzi kuripoti shule na mifuko mitatu ya saruji bila wazo hilo kupitishwa katika utaratibu wa vikao vya shule na wazazi.
Hatua hiyo imekuja baada ya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?
Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?
Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi yeye na serikali yake watatoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia elimu ya chekechea hadi vyuo vikuu.
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kampeni zao leo zilizofanyika Dar es salaam
Ndugu zangu watanzania,
Leo sina maneno mengi ya kuongea nanyi Bali nimewaletea tu matokeo na FAIDA ya ELIMU bule katika awamu ya sita
Hakika mama katufikia watanzania na tuna mpenda na tunatamba nae na ELIMU tunasoma bule na hakuna necta la Saba wala kidato Cha pili SI kwenda tu mbele kwa mbele
Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu.
Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa sekta ya elimu...
Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu.
Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
Chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wameahidi kutoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia Chekechekea hadi elimu ya juu bure iwapo watanzania watakipa nafasi kushika dola.
Akizungumza na vijana kwenye kongamano la vijana wa CHAUMMA kuelekea siku ya vijana Augosti 12 mwaka huu naibu...
Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
KAMANDA WA TAKUKURU (M)
MKOA WA KILIMANJARO
S.L.P 1951
Moshi-Kilimanjaro
Imetokea taharuki kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025, Moshi Manispaa, baada ya kuonekana mtaani kwa risiti za malipo ya mamilion ya fedha , yasiyojulikana...
Mimi ni mzazi ninayesomesha watoto zaidi ya wawili katika shule za sekondari za umma katika halmashauri ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kero yangu kubwa ni kukithiri kwa michango mbalimbali kwenye hizi shule japokua baadhi ina tija ila hofu yangu ni uwezo wa wazazi kuimudu.
Wanafunzi...
Shule ya ,singi Vikunai iliyopo Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam kuna changamoto kubwa Wanafunzi hawana madawati baadhi wanakaa chini.
Shule pia inabebesha wazazi mzigo wa kutoza Tsh 500 ya mtihani kwa madarasa ya mitihani, hiyo tsh 500 mwanafunzi anatakiwa kwenda nayo kila siku, hivyo...
Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda naomba utusaidie maelezo ya kina kuhusu shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza.
Swali ni moja tu, KWA NINI MWANACHI ANALAZIMIKA KULIPA SHILINGI 400,000+ YA ADA KWENYE SHULE HIZI wakati ambao serikali inatekeleza sera ya elimu...
Elimu ni Pana sana haiwezi kutolewa Bure, serikali haina huo uwezo.
Kuna wazazi wamebweteka tu kuwajibika Kwa watoto wakijodai ati serikali inatoa elimu Bure.
Viongozi wa serikali hawasomeshi kwenye hizi shule zenu za vumbi, kidumi na mfagio watoto wao wapo international school wanalipa ada Kwa...
Serikali imenuia kupunguza mzigo wa gharama za michango kwa wazazi wa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano. Serikali imeweka ukomo wa michango kuwa Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya elimu na mafunzo ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.