eid

Eid al-Adha (Arabic: عيد الأضحى, romanized: ʿĪd al-ʾAḍḥā, lit. 'Feast of the Sacrifice') or the Feast of Sacrifice is the second and the larger of the two main holidays celebrated in Islam (the other being Eid al-Fitr). It honours the willingness of Abraham (Ibrahim) to sacrifice his son Ishmael (Ismail) as an act of obedience to God's command. Before Abraham could sacrifice his son, however, God provided him with a lamb which he was supposed to kill in his son's place because of his willingness to sacrifice his own son in the name of God. In commemoration of this intervention, animals are ritually sacrificed. Part of their meat is consumed by the family which offers the animal, while the rest of the meat is distributed to the poor and the needy. Sweets and gifts are given, and extended family members are typically visited and welcomed. The day is also sometimes called the Greater Eid.In the Islamic lunar calendar, Eid al-Adha falls on the tenth day of Dhu al-Hijjah and lasts for four days. In the international (Gregorian) calendar, the dates vary from year to year, shifting approximately 11 days earlier each year.

View More On Wikipedia.org
  1. Eid Mubarak 🌙✨

    Katika mchanganyiko wa utukufu wa ustaarabu na roho ya mustakabali, tunasherehekea siku ya Eid iliyojaa furaha, amani, na mwanzo mpya wenye nuru na mafanikio. 🌙 Eid si tu sherehe… ni ukumbusho wa subira, kujitakasa, na kurejea kwa moyo safi. Ni wakati wa kusameheana, kushukuru, na kuimarisha...
  2. S

    Nilipoona watumishi hawajapata mshahara mpaka leo, nikajua Eid ni Jumamosi na kesho mshahara unatoka

    Habari hii ni kwa wenye akili tu za kusoma mazingira na kupata majibu. Kwaherini na usiku mwema.
  3. Heri ya Eid al-Fitr, furaha na amani iwe nanyi 🌙⭐

    Eid Mubarak 🌙✨ Nawatakia nyote sikukuu njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele. Mwenyezi Mungu azikubali ibada zenu zote, awajaalie afya njema na mafanikio katika kila jambo mlipangalo. Tukumbuke kushirikiana na kusaidiana, hasa wale wenye uhitaji, ili furaha ya Eid iwafikie wote 🤍 Eid...
  4. Eid imekaribia, huyo umpendae kashakununulia Pashmina?

    Wadada wa JF mpo? Kwa hiyo huyo mhalifu mwenzako ameshakunulia Pashmina au utasubiri tu mwakani? Wifi yenu ataendelea tu kuvaa madera na vijora Binafsi napata ukakasi kumnunulia hayo mashuka tena kwa 150k wakati kuna vijora
  5. Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  6. Kuna jamaa ni mtu wangu wa karibu na imani ya Kiisilamu aliwahi kuniambia kuchinja kwa EID kutoa sadaka nyingi zimekuwa kama za wahindi utoboi

    Dunia ya sasa sio ya zamani leo uwezi kwenda kujiamini sababu watu wamegeuka ulimwengu mwengine.Hili swala la uchinjaji kugawa sadaka sio wote wenye kutoa kwa moyo wengi wapo kuchukua riziki zenu kubaki omba omba mpaka kufa kwenu. Sitaki kusema mambo ya waisilamu tu hata wakristo nao wapo hivo...
  7. Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

    Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani, Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito...
  8. Kesho Karibun EID Nyumban.

    Kesho Karibun EID Nyumban.
  9. Eid Al Adh haa ( Eid An Nahri pia Eid Al hajj )1446 Hijriyyah / 2025 Miylaadiyyah

    Nakusalimuni nyote. Kulingana na tarehe itokanayo na mwandamo wa mwezi wa kimataifa Eid Al Adh haa kwa mwaka huu wa 1446 Hijriyyah sawa na 2025 Miylaadiyyah itakuwa siku ya ijumaa ya tarehe 10 Dhul hijja ( mfungo tatu ) mwaka 1446 sawa na tarehe 6 June mwaka 2025 Miylaadiyyah. Tukio la...
  10. Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

    Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
  11. PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo, Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
  12. Eid Mubarak wote

    Wasaalam rafiki yetu.... Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach, Tunawatakia Eid Mubarak..... Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
  13. Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  14. What a blessing Eid🙏

    Kinachonifurahisha ni kwamba leo waandishi wa habari karibu wote wamevaa kanzu na hijab😂
  15. Uzi wa vyakula tu

    Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23]...
  16. Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
  17. GSM na Try Again uso kwa uso kwenye Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr

    Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr. GSM na Try wamekutana katika Msikiti wa Oysterbay na kusalimiana kwa kukumbatiana licha ya kuwa kuna mvutano...
  18. Baraza la Eid -Nyerere Convention Centre

    Baraza kuu la Idd litafanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Nyerere Convention Centre, Posta. Kuanzia Saa 8 mchana. Eid Mubarak.
  19. Eid Mubarak kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
  20. Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…