edo kumwembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Edo Kumwembe: Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso

    "Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila tiketi ina seat number. Mageti yote pia yanafunguliwa na unaingia katika geti la jukwaa lako. Naona...
  2. Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
  3. PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

    Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga. Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
  4. M

    Edo Kumwembe amshika pabaya Injinia Hersi kuhusu udhamini, badala ya kujibu hoja anamsifia Oscar Oscar

    Majibu ya kitoto kabisa kwa Hersi, Edo amekuuliza kuhusu udhamini wa GSM kwa vilabu vinavyoshiriki LIgi yetu kuwa vinaashiria ya kuibeba Yanga wewe unasema unataka maswali Critical kama ya Oscar, OScar amekuuliza maswali gani Critical au unatuona sisi wajinga? Badala yake unajibu, NBC...
  5. Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

    Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji. Namnukuu Edo Kumwembe, Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria. Akaongeza, mpaka leo...
  6. Edo Kumwembe aliwahi kugusia tatizo la nidhanmu ya Kelvin John huko Ulaya, sijashngaa kocha wa Taifa kumlalamikia, Kelvin abadilike lasivyo atapotea

    Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni...
  7. Anaandika Edo Kumwembe Kuhusu Utambulisho Wa D Voice

    KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA.... Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu, Location Za South Africa etc... Promotion ya kufa mtu Anaelekea kuwa staa mkubwa. Baadae Akiamua Kujitoa...
  8. O

    EDO KUMWEMBE: Kila unapoifikiria ndoa ya Ajibu na Coastal Union haupati jibu

    RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba amekwenda katika timu yake ya tano Ligi Kuu Bara. Timu yake ya pili nje ya Jiji la Dar es salaam. Haikutazamiwa kuwa mapema hivi lakini ndio hali halisi. Ndani ya misimu mitano amecheza timu takribani tano. Sasa Ajibu ametua Coastal Union. Ni ndoa ambayo...
  9. O

    EDO KUMWEMBE:: Air Manula wala asiwe na wasiwasi nafasi yake ipo salama

    UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na wasiwasi. Hakuna mwanadamu ambaye hana hofu na kazi yake. kazi ni maisha. Kazi ni kila kitu. Lazima...
  10. Kwani Edo Kumwembe ungesema taarifa hiyo umeitoa kwa GENTAMYCINE na JamiiForums ungepungukiwa nini?

    Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia Moses Phiri ataendelea kutopangwa na Kocha Robertinho basi nitamuanika hapa hapa Kiongozi wa Simba SC...
  11. O

    Edo Kumwembe: Kwaheri kwasasa Fiston Mayele

    ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022. Hakuwa jina maarufu miongoni mwetu. Baada ya virusi vya corona kuvamia katika kambi ya Yanga na kisha...
  12. O

    Edo Kumwembe: Yannick Bangala, kutoka Avic Town hadi Mbagala

    KAMA kuna mchezaji ambaye alikuwa anapendwa na Wanayanga miezi 12 iliyopita mmojawapo alikuwa Yannick Bangala. Watangazaji wa Azam TV walimuita Mzee wa Kazi Chafu. Kuna wachezaji walionekana kufanya kazi nyingi ambazo zingeonekana kiurahisi. Yeye alikuwa anafanya kazi nyuma ya pazia. Usingeweza...
  13. O

    EDO KUMWEMBE: Djuma na Bangala hawakusoma alama za nyakati?

    JINA la Fiston Mayele halikuwepo katika orodha ya wachezaji waliotambulishwa Jumamosi jioni wakati Yanga walipofanya tamasha lao la wiki ya Mwananchi. Hakuna aliyeshangaa sana. Moja kati ya siri ambazo zimefichwa vibaya ni kwamba Mayele ameuzwa. Kila mtu anafahamu. Haikushangaza kuona jina lake...
  14. O

    EDO KUMWEMBE: Ukimuwaza Miquissone unaongeza heshima kwa Samatta

    UNAPOANDIKA kitabu kinachohusu klabu ya Simba. Utaandika mwanzo, katikati, kisha kuna hizi kurasa za mwisho mwisho. Namaanisha hizi zama zetu za sasa. Utaandika sifa za baadhi za wachezaji. Utakutana na jina la Luis Miquissone. Katika sifa rahisi zaidi kumwelezea Miquissone inabidi uandike tu...
  15. O

    EDO KUMWEMBE: Hatimaye tumefanikiwa kumtoa mchezoni kamanda Onyango

    MSIMU ulioisha ulikuwa wa pili kwa Fiston Mayele hapa nchini. Msimu wake wa kwanza katika pambano moja la Simba alikutana na kisiki kinachoitwa Joash Onyango. Ni ndani ya miezi 24 tu iliyopita. Mayelle hakukatiza. Mwishowe Enock Inonga alijichukulia sifa kwa kumsindikiza Mayele wakati anatolewa...
  16. O

    Edo Kumwembe: De Gea alivyosalitiwa na miguu badala ya mikono

    MVINYO wa Nebiollo unaopatikana Italia ndio mvinyo ambao unasindikwa katika chupa kwa muda mrefu zaidi duniani. Miaka 20. Kadri unavyozeeka ndivyo unavyokuwa mtamu. Unanywewa na matajiri kama kina Sir Alex Ferguson. Katika huu mchezo wa kihuni unaoitwa soka, wachezaji wanaolinda lango maarufu...
  17. O

    Edo Kumwembe: Aliyemsajili Sawadogo Simba pepo ataisikia tu

    WAKATI Simba ilionekana kama imekosea kuwasajili Victor Akpan na Nassor Kapama katika dirisha kubwa lililopita la uhamisho, hatimaye Januari ikafika. Mtu mmoja mwenye busara zake akaishauri Simba iongeze mchezaji wa kiungo baada ya Akpan na Kapama kuonekana hawafahi. Mtu huyo akawasiliana na...
  18. O

    EDO KUMWEMBE: Mzee Kikwete anapokesha kumsubiri Lunyamila mwingine

    ZAMANI mzee Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kupigwa picha akipanga foleni kuingia katika pambano moja la timu yake aipendayo Yanga. Wakati ule alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Alipenda zaidi soka na kikapu. Akizungumzia kitu kuhusu michezo anazungumzia kitu anachokifahamu. Majuzi nilikuwa...
  19. O

    EDO KUMWEMBE: Nabi na Yanga, ndoa iliyoisha kwa amani na miguno

    ITACHEKESHA kusema kwamba mmoja kati ya makocha waliodumu sana katika timu kubwa katika miaka ya karibuni hapa nchini hatimaye ameng’oka. Nassiredine Nabi. Anaweza kuwa amekaa misimu mitatu tu Yanga lakini kwa mpira wetu amekaa muda mrefu. Katika kipindi chake unadhani Simba na Azam wamepita...
  20. O

    Edo Kumwembe: Machozi ya Nabi katika mwisho wa kiume wa Yanga Algeria

    MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo. Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…