duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

    Kama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
  2. JamiiForums Tanzania Kila kitu hapa duniani ni mahesabu ty

    Nakupa salamu sasa,je mnzima wewe?? Mangi shangali.. HESABU ndo kila kitu duniani, chochote kili chopo duniani kipo kimahesabu. Kipindi tukiwa shule ya msingi walimu walitusisitizia sana hesabu,tena tulichapwa fimbo nyingi sana sababu ni hesabu.. Ebu tuingie deep sana...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

    Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake. Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji" Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni Mabunge yote duniani Mbunge akisimama badala ya kutumia muda wake vizuri ni lazima aanze kumsifia Rais?

    Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge. Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali? Inawezekana Mimi ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Kuongeza Kazi Zenye Hadhi/Staha ni Muhimu Katika Kupunguza Pengo la Usawa Duniani

    Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

    English series 1. Game of thrones 2. Prison break 3. Breaking bad 4. Blindspot Korean Drama 1. Jumong 2. A man called god Spanish series 1. Money heist Indian movies 1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan. 2. Baahubali the beginning na the conclusion NB: kama zitatokea kali...
  8. JamiiForums Tanzania DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

    Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae? Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
  9. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mataifa yenye jeshi lenye nguvu kubwa duniani

    Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani: 1. USA 2. Israel 3. Russia 4. China 5. India https://healthygeorge.com/trending/a-list-of-the-worlds-strongest-military-powers-strongestmilitaries-misha-gemini-3/38
  13. JamiiForums Tanzania Manchester City yatajwa kuwa Timu yenye Thamani Kubwa zaidi Duniani

    Man City have been named the most valuable football club brand in the world, after topping the Brand Finance Football 50 report for the first time 🥇 Five other English clubs appear in the top 10: Man Utd (4th), Liverpool (5th), Arsenal (8th), Tottenham (9th), Chelsea (10th) 💪📊 Source: Sky sport
  14. JamiiForums Tanzania Nashauri ianzishwe Kozi ya Bachelor of arts in artifical intelligence (AI) vijana waendande na kasi ya wenzao duniani

    Naomba nieleweke ni Arts sio Science. Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende. Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Mazingira Duniani: NEMC yaipongeza Muhimbili kwa kutunza mazingira vizuri

    Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi Juni, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea na kutoa misaada ya kulinda mazingira katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote lenye nguvu duniani linajengwa na Wasomi

    Nimewiwa kuandika huu Uzi kwa sababu maalumu mbili. Kwanza upendo wangu Taifa langu Tanzania na pili Uzi huu kutumika kuimulika kesho ya Taifa langu. Baba wa Taifa la Tanzania Hayati Mwl Nyerere ndie founder wa Taifa hili na niseme tu pamoja na mapungufu yake ila mchango wake kwa Tanzania...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana Elon Musk kuongoza tena kwa utajiri duniani

    Mzuka wanajamvi! Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua. Anajiona yeye ni mungumtu. Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba moja duniani nimelia sana. Kwa nini freemason wamemrudisha? Nilikuwa naomba azidi kushuka tu zaidi na...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafki wote Duniani huumbuliwa kama Feitoto, hii ipo mpaka Marekani. Yanga ikibeba kombe kuna watu watakufa

    Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip. Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi. Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba 1 Duniani

    Mmiliki wa mtandao wa Twitter na mkurugenzi wa kampuni ya magari ya umeme ya Tesla Bwana Elon Musk amerejea kwa mara nyingine tena kuwa tajiri namba moja Duniani. Tukumbuke kwamba Elon amekuwa akipoteza nafasi ya kwanza utajiri Duniani mara kadhaa na kurejea toka November mwaka jana kutokana na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…