Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
a) vunja Katiba iliyopo lete Katiba mpya iliyo sahihi inayo egemea kwa 90% kwa Ile ya Warioba.
b) Unda tume huru ambayo wasimamizi wa uchaguzi wata chaguliwa na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pindi tu uchaguzi utakapo karibia.
c) Baada ya kuya timiza hayo itisha mkutano wa dharula was chama kwa taratibu zilizopo mbele ya waandishi waandishi wa habari na uitangazie jamhuri kwamba kwaheshima ya chama chako na kwakujari zaidi masrahi ya taifa letu na watu wetu
Kama Mama nimeona nivema kuto endelea kukalia kiti hichi isipo kuwa kutumikia kipindi nilicho kuwa nimekigombea na baba yenu tu.
Hivyo chama kiandae mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao Mimi Nita ishia hapa nahii no kwa mujibu was Katina mpya iliyopo Sasa asanteni baada ya kuya zungumza haya Mama nakuhakikishia wale mafisadi, wanao kuhujumu, wanao kufanya uonekane hutendi vema kazi yako,wanao shinda mitandaoni kuku kosoa wata tambua kwamba wewe.
Ni mkomavu kisiasa, ni mdemokrasia, ni mzarendo,hufuati matakwa yao, huna tamaa na madaraka nk na dunia ita kupa heshima take pia USHAURI Usiogope vitisho vya kina nchumali