duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  2. Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

    Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani. Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu? Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande...
  3. Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  4. Pesa zangu ni zangu sijaja duniani kusaidia Ulimwengu

    Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au...
  5. Tarehe 30/9 ni siku ya tafsiri duniani. Chukua zawadi yako

    Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri. Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
  6. M

    Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
  7. ONYO: Hivi ndivyo vitu vya kuogopwa uwapo Duniani

    Mungu, Urusi, Wanawake, Israeli; na, Kifo.
  8. M

    Duniani kuna karma na hakuna kitu kinachoitwa Albadir, Albadir haina madhara yoyote

    Albadiri nayo ni scam, kama scam nyingine. Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki. Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo". Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya utalipwa mabaya kama kawaida. Kitu kinachoitwa Albadir hakina nguvu yoyote ile , hakijawahi kuwepo na...
  9. Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale wanayoyafanya. Mataifa Makubwa na Watu wengi wa Ulimwengu wa Kwanza wamekuwa Mstari wa mbele Kúpigania...
  10. Kuonana na P.Didy ndiko kulikompa kichwa Diamond na kupata ndoto ya kuwa "Tajiri Namba 1 Duniani"

    Lakini sasa itakuwaje? Maana mentor tayari yameshamfika shingoni huko Marekani!
  11. Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  12. M

    Mbowe amefikisha ujumbe duniani. Na amethibitisha ni shujaa

    Shujaa wa wiki hii
  13. Mashirika10 yenye Nguvu Duniani (powerful organization in the world)

    10.M16 ( shirika la kijasusi la uingereza) 9.kampuni ya Apple 8.ICBC ( benki ya kiselikali ya china) 7.CIA 6.Serikali ya india 5.Umoja wa ulaya 4.Serikali ya Russia 3.Serikali ya china 2. Serikali ya marekani 1.Illuminate / Freemasoni sorce: World data 3D
  14. Umoja wa Mabunge Duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Umoja wa Mataifa (UN) ni wa muhimu katika kutekeleza ajenda mbalimbali za pamoja kwa manufaa ya...
  15. Raisi wa CAF Dkt. Motsepe ndiyo Rais pekee duniani ambaye hapokei mshahara mwisho wa mwezi

    Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara ) Anajilipia/kugharamia kuanzia: a) Usafiri b) Makazi c) Malazi nk. Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS (Masandawana) gharama zote za uendeshaji analipia yeye pia. Kina Abou Hany, Samuel Eto'o na Fouzi...
  16. Hapana duniani watu wanaojinasibu wanaujua ulimwengu kumbe hawaujui ulimwengu wanaouishi!

    Sikia! Kila kitu kina mlango ili ukiingie! Hata wanzinzi, wezi, mafisadi, nk kabla ya kufanya tukio ujiuliza nitaingilia wapi? Ukitaka kuingia kwako hata chumbani kwako lazima upitie mlangoni! Sijali kama unaamini au huamini (atheists) lakini ujue kuna mfumo uliounda ulimwengu tunaoishi una...
  17. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  18. Hivi hii tabia ya wizi ni kwa watanzania tu au duniani kote

    Natumai wazima. Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na yeye akanunue kigari atambe mjini alafu wenyewe wanaita et marupurupu wakati huu ni wizi. Hii tabia...
  19. Vitu gani vinaonyesha udhihilisho wa uwepo wa Mungu hapa duniani? Hata kama wewe ni atheist!

    Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
  20. Iraq (babylon) chanzo cha maasi duniani

    Tujifunze kidogo kuhusu taifa LA Iraq🇮🇶 Iraq ni taifa lenye history kubwa kuliko matafa mengi duniani Wanadamu wa kwanza (Adam na Hawa)waliishi hapa katikati ya mito ya Tigris na Euphrates Dhambi au uasi ulianzia hapa na hawa watu na kusambaa duniani kote Eneo hili ndipo Adam alimuasi Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…