dunia

  1. JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA wamesema watafanya vurugu? Si wamesema wataandamana kwa amani ili dunia ijue watu wanatekwa na kupotezwa?

    Au polisi haina imani na makamanda hawa? Mbona hawatishia amani zaidi ya kuandama?
  2. JamiiForums Tanzania Huyu shemeji nimuache au nipite naye?

    Habari wakuu mbali mbali, kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini mwezi mmoja uliopita mshkaji wangu wa karibu akanambia demu wake hana hisia kabisa wakinyanduana ni kama ananyanduana na gogo...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  5. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ted Kalanda Harrison, Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' au 'Hakuna Matata'afariki Dunia

    Msanii wa muziki na Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' maarufu kama 'Hakuna Matata' kutoka Kenya Ted Kalanda Harrison amefariki Dunia Septemba 17, 2024 Taarifa ya kifo cha Msanii huyo imethibitishwa na ndugu yake, John Katana akisema Ted amefariki baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu. Ted...
  6. JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  7. JamiiForums Tanzania Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda, Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona dunia itakavyolaani. Mwenendo wa dunia ishafikia wakati kila mtu anajiamulia kufanya jambo ili...
  9. JamiiForums Tanzania Nipo mbioni kuanzisha Kozi Maalum ya Kuwafundisha Marais wa dunia namna ya Kuongea Points mbele ya Hadhira na siyo Pumba

    Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Dunia kufikia kuondoa pengo la kijinsia baada ya miaka 134

    Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa. Maendeleo yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1% tu kutoka mwaka 2023. Kwa kasi hii, itachukua miaka 134 kufikia usawa wa kijinsia duniani, mbali sana na lengo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtumbwi wazama Ziwa Viktoria, mmoja afariki sita hwajulikani walipo

    Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria. Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma, kuelekea katika kitongoji cha Bulomba Kijiji cha Igundu wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Mkazi wa Kijiji...
  12. JamiiForums Tanzania Shida za Dunia, Jose Chameleone (Lyrics)

    Shida za Dunia Artist: Jose Chameleone Released: 2006 Album: Kipepeo Lyrics Rafiki yangu alikuja nyumbani, Kunielezea shida Fulani, ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini, Mke wake amemutoroka, Rafiki zake wanamcheka, shida amepata nyingi amechoka, dunia anajuta. Acha kulia, shida...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunaendesha Dunia au tunaendeshwa?

    Salam wadau, Huwezi kutenga siasa na maisha ya mwanadamu. Naomba niruhusu mjadala kabla ya kutoa mchango wangu! Karibuni!
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini. Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inapoelekea sijui miaka ijayo ukristo utakuwa na hali gani

    Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka Kubeba Laptop Hadi Kuvaa Kifaa: AR na VR Zinafungua Dunia Mpya

    Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR). Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Balozi Dkt. Pindi Chana Ateta na Wajumbe wa Benki ya Dunia

    WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rapa Rich Homie Quan afariki dunia

    Rapa Rich Homie Quan (34) amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 5, 2024 na taarifa za kifo cha msanii huyo zilianza kusambaa mtandaoni, huku wasanii wenzake kama Boosie Badazz na wengine wakituma salamu za pole katika kurasa zao za mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tovuti ya...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa kuna mwanamke anaweza kuona pesa mumewe aliyoisahau kwenye suruali akamrudishia?

    Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂 Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…