dudubaya

  1. Kipenzi Changu

    Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  2. M

    Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

    Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua kama ni nguvu maalum ambayo inatengenezwa na mashine na hii sumaku ni kubwa kweli kweli ndio maana...
  3. Driz de Mafwele

    Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia. Anasema asingeenda India angepooza milele. Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India. Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video. Soma...
  4. Hance Mtanashati

    Hivi Wastara ametumia vigezo gani kumkubalia Dudubaya?

    Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ? Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu. Sielewi huyu dada ametumia...
  5. The Magnifico

    Dudubaya: Hata nisikie Mkubwa Fella amefariki, siwezi kwenda kumzika

    Jamaa anakuambia "You love I love You, You dont love Me I dont love You".
  6. Expensive life

    Dudubaya adai Diamond toka atoke nyumbani kwa P Diddy akili zake hazipo sawa

    Msanii nguli wa bongo fleva. Dudubaya adai toka msanii mwenzie Diamond plutnumz atoke nyumbani kwa P diddy huko Marekani, akili zake nado hazipo sawa.
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Dudubaya Podcast imekumbwa na changamoto gani?

    Alianza kwa kasi kubwa na kupata wafuasi wengi na maoni ya wengi yalikuwa chanya. Nini kimefanya awe kimya ghafla? Je ni maboss wa mainstream wameamua kudeal naye kupitia TCRA na TRA kwa kisingizio cha kutojisajili au anajipanga kwa kitu bora zaidi? Mimi Ponjoro wa Kinondoni ni CCM ila sina...
  8. kyagata

    Hivi Dudubaya yeye anajua kila kitu hapa Duniani mpaka awe anatolea ufafanuzi wa kila jambo lenye utata?

    Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani. Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake. Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle...
  9. babukijana

    Dudubaya kasema anachukia Mijitu myeusi

    Hakuna aliyemuelewa. Leo Kagera kuna watu wasiojulikana wameenda kuchoma nyumba usiku huku kuna watu 8 ndani. Imagine wasingekurupuka mapema wangekufa tu. Hao pumbavu waliofanya hayo walionekana wakikimbia na madumu ya petroli na mapanga na visu wameacha pale na kamba. Ni binadamu wa kawaida...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  11. Mr Why

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  12. T

    Uzi wa interview za Dudubaya

    Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya interviews za Dudubaya. https://www.youtube.com/watch?v=S9kF6XQbr_E
  13. GoldDhahabu

    Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu vyoo vya mwendokasi na uwanja wa ndege?

    Anasema: 1. Vyoo vya mwendokasi vimejengwa mbali sana kutoka kituo kimoja hadi kingine 2. Uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam usitegemee maji ya Dawasa pekee Unauonaje ushauri wake?
  14. P

    Yuko wapi msanii Dudubaya?

    Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa, hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake. Dudubaya yupo wapi?
  15. I

    Namtafuta Dudubaya

    Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzi wake zaidi ya 26,000 kwenye...
  16. Analogia Malenga

    Dudubaya asamehewa

    Serikali ya Tanzania imemsamehe msanii, Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya baada ya kumfungia kwa muda usiojulikana kujihusisha na kazi za sanaa. Alifungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kukataa wito kuhojiwa kuhusu tuhuma alizozitoa katika mitandao ya kijamii kuhusu sanaa. Baraza...
Back
Top Bottom