Dudubaya kasema anachukia Mijitu myeusi

Dudubaya kasema anachukia Mijitu myeusi

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
16,391
Reaction score
21,074
Hakuna aliyemuelewa.

Leo Kagera kuna watu wasiojulikana wameenda kuchoma nyumba usiku huku kuna watu 8 ndani.
Imagine wasingekurupuka mapema wangekufa tu.

Hao pumbavu waliofanya hayo walionekana wakikimbia na madumu ya petroli na mapanga na visu wameacha pale na kamba.

Ni binadamu wa kawaida tu wako mtaani ni hao wana matumbo yao wameshiba kitimoto na ugali na bia ni hao wanafanya hayo mambo.

Anyway inasikitisha sana
 
Mbona head na body ya andiko lako vinapigana badala ya kuungana
Soma uelewe, ukishindwa rudia hata mara 10.utaelewa.
Mijitu myeusi ndio imeenda kuchoma hiyo familia.
Mungu alikua upande wao
 
Back
Top Bottom