dpp

The Democratic Progressive Party (DPP) is a Taiwanese nationalist and centre-left political party in Taiwan. Controlling both the Taiwan Presidency and the unicameral Legislative Yuan, it is the majority ruling party and the dominant party in the Pan-Green Coalition.
Founded in 1986, the DPP is one of two major parties in Taiwan, along with the historically dominant Kuomintang. It has traditionally been associated with strong advocacy of human rights, anti-communism and a distinct Taiwanese identity. The incumbent President and former leader of the DPP, Tsai Ing-wen, is the second member of the DPP to hold the office.The DPP is a long-term member of Liberal International and a founding member of the Council of Asian Liberals and Democrats. It represented Taiwan in the Unrepresented Nations and Peoples Organisation. The DPP and its affiliated parties are widely classified as socially liberal because of their strong support for human rights, including support for gender equality, but they also advocate economic liberalism and a nationalistic identity. In addition, the DPP is more willing to increase military expenditures, with a strong pro-Western foreign policy.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Boss wa muhimili wa mahakama ni DPP ama Judge mkuu?

    Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora. Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na...
  2. JamiiForums Tanzania Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

    Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine. Korti ya karne AI ikatae kuficha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Authority/ precedent ya DPP V Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC), Hakimu ilibidi amuachie, lakini kwa vile, amefungwa mikono

    Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu. Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa. In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC), the Court held:“ If the court refuses to adjourn the case after...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
  5. JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  6. JamiiForums Tanzania Director of Public Prosecution (DPP) anatakiwa kuchaguliwa na wananchi

    Hili swala nilitaka kuliongelea mda mrefu sana hasa kwenye swala la mbunge wa babati alichomfanyia kijakazi wake nikaghairi Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public Prosecution yafutayo ni maoni yangu juu ya nafasi ya DPP Awe anachaguliwa na wananchi Atakuwa chini...
  7. JamiiForums Tanzania Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

    Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa. Baaasi
  8. JamiiForums Tanzania DPP tunakuomba usifute hii kesi ili tupate huondo wa sheria

    Lissu akomae tu najua tarehe 15 lazima ipelekwe mahakama kuu na huko kajitetee mwenyewe ili tuone jinsi mfumo unavyovuliwa nguo nakuamini baba mtangulize kibatala awakorogee alafu umalizie.
  9. JamiiForums Tanzania Kama DPP anasema hawajaamua rasmi kumshtaki Lissu kwa kosa la uhaini, sasa kwanini wanaendelea kumshikiria kwa karibu miezi 3?

    Yaani hii nchi ina watu ovyo wanaoishi kwa kulipwa pesa nyingi ambazo ni kodi za wananchi. Yaani unamtuhumu mtu, unamkamata, unamuweka gerezani miezi mitatu bila kumshtaki, halafu unaibuka na kusema bado hujaamua rasmi kumshtaki!! Kama kuna ofisi ya kwanza ya umma inayopaswa kufumuliwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa DPP: Kwa Ushahidi wa Shahidi wako wa kwanza Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu, Nolle ni busara kuliko Serikali kuvuliwa nguo hadharani

    Silvester Mwakitalu. Sidhani kama kesi zilizofunguliwa dhidi ya Tundu Lissu zilipata baraka zako za kitaalam kabla ya kuwasilishwa Mahakamani. Nasema haya kwa sababu nakujua vizuri. Wewe ni mtu muungwana na mlokole sana. Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza...
  11. JamiiForums Tanzania Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi?

    Wanabodi Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi mamlaka za kuja na...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima Anasema: 1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa: Wamepanga DPP aseme hana nia ya kuendelea nashauri kabla ya tare 02 june 25: halafu watamkamata tena kwa kosa jingine

    Kabla ya june 02 wamepanga kumwachia, halafu watamkamata tena kwa kosa jingine! Habari ndo hiyo!
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Askofu Ruwaichi: Unajua kuwa NSSF, DCI, DPP na PCCB wanatumia Msimbazi Center kama "Kidnapping Center" ya wadeni wa NSSF tangu jana?

    Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba: “Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP ikaliwe na watu wenye IQ kubwa, Busara na Hekima, ila IQ kubwa kiwe kigezo Kikuu, yaan Hadi Mwabukusi alishtakiwa Kwa kosa la UHAINI?

    UHAINI ? Jinai ambayo adhabu yake ni Kunyongwa . Kwa Tanzania mambo ni tofauti kabisa, Mwabukusi Alisema, nitawaongoza watanzania kwenye maandamano suala la DP World, eeehhh maajabu Polisi na DPP wakamfungulia Shitaka la UHAINI. UHAINI imekua ni lugha laini na nyepesi sana kutajwa na DPP ,PT...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
  18. JamiiForums Tanzania Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP ifutwe au kunyang'anywa mamlaka ya kuonea watu yasiyo na kikomo wala kuhojiwa

    Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na kile kisheria huitwa discretionary powers au mamlaka yasiyohojika. DPP anaweza kutumiwa na watawala...
  20. JamiiForums Tanzania Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

    MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…