dotto biteko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    Wako wapi akina Dotto Biteko na Inno Bashungwa?

    Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
  2. Nyankurungu2020

    Tatizo lilianza pale alipojidanganya kuwa Dotto Biteko na Jesca Magufuli watamsaidia kukubalika kanda ya Ziwa Victoria

    Naweza kusema yalikuwa mahesabu ya hovyo japokuwa walidhania yataisadia CCM. Eneo pekee hapa nchini ambalo huwa linatoa mustakabari wa taifa letu ni kanda ya Ziwa Victoria hususani kwenye uchaguzi. Mwaka 2005 Jakaya alikuwa anapigwa vita na watu wa maeneo ya kanda ambayo naiweka kapuni...
  3. The Father of All

    Mwigulu ajifunze toka kwa Dotto Biteko, Bashungwa na Tulia Akson

    Watajwa hapo juu walitumiwa na kubwagwa baada ya kutumika. Naona, hata huyu Mwigulu ataishia huko huko muda si mrefu. Najiwazia tu.
  4. M

    PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Yaani, Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming. Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha. Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
  5. The Father of All

    PostGE2025 Ndoto za Dotto Biteko za Uwaziri Mkuu zimeishia wapi?

    Kwa wajuzi wa mambo, Dotto Biteko na wenzake watokao kanda ya ziwa walitumika kutaka kupata kura kabla ya uchafuzi haujaharibika. Hivyo, sasa wameishajipa ushindi, hawahitaji msaada wao. Je Desemba 9, watatoboa au kutobolewa?
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dotto Biteko: Nitawashanga sana watakaohoji ushindi wa CCM uchaguzi mkuu

    Dotto hadi sasa hakuna haki yoyote ilifanyika kwenye uchaguzi huu, uchaguzi ambao umeingia doa kubwa hata kwa jiki auwezi kuondoa doa hilo. Na hao mnaoshindana nao ni CCM B wote so hakuna uchaguzi hapo! ==================== MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Dotto Biteko amesema kwa...
  7. Just Pray

    GE2025 Dkt. Biteko: Tufanye toba ya kweli kupata Amani

    Baada ya hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati alipoungana na wana Bukombe pamoja na wakazi wa maeneo jirani kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia mkesha...
  8. SSH2025_2030

    Dr Dotto Biteko - Waziri Mkuu Mteule makini

    Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
  9. F

    Dotto Biteko afanya uteuzi wa board members EWURA CCC

    Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi. Tunaomba...
  10. W

    GE2025 Dotto Biteko Ashinda kwa Asilimia 99.8 hakuna Kura za hapana jimbo la Bukombe- Geita

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%. Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni...
  11. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  12. J

    GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

    Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
  13. B

    Tetesi: Dotto Biteko kuteuliwa Waziri Mkuu Serikali ijayo endapo atashinda ubunge jimboni

    Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo Kwanza...
  14. The Tomorrow People

    Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

    Asalaam Aleykum!! Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa. Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili...
  15. Mindyou

    PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko: Asitokee mmoja miongoni mwenu wa kuwagawanya, msigawanyike shikamaneni

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka walimu nchini kushikamana na kutokukubali kugawanywa Dk Doto Biteko amesema hayo Jumapili Juni 8, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama cha Walimu...
  16. President of China

    Dk. Biteko atembelea bunge la Morocco

    Hakuna asiyejua kila kona ya dunia watu wanaiongelea Tanzania. Wengine wenye niambaya na wengine wenye nia nzuri. Lakini Tanzania kwa sasa ndio kiongozi wa maendeleo ya kweli kwa watu wake. === MOROCCO: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko Mei 15, 2025 ametembelea Bunge la...
  17. Nipe Maji

    Waziri Biteko awasilisha bajeti shilingi Trilioni 2.2 wizara ya Nishati mwaka 2025/2026

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/2026 ya kiasi cha shilingi Trilioni 2.2 ambapo asilimia 96.5 ya Bajeti yote ni kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo na asilimia 3.5 ni...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Dk. Biteko awataka Viongozi kuepuka uuzaji wa ardhi, wajikite kutatua migogoro

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka viongozi nchini kuepuka vitendo vya kuuza ardhi, badala yake wajikite katika kutatua migogoro inayohusiana na ardhi. Ametoa kauli hiyo leo, Jumatano Aprili 23, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya...
  19. S

    Dotto Biteko acha ubaguzi; Chama cha Mawakili kimepatiwa eneo la kujenga makao makuu yake Arusha, kwanini ulazimishe kujengwa Dodoma?

    Hii jamii ya kisukuma inaonekana imekaa kibaguzi, Magufuli aliibagua sana Arusha, alihamisha hata sherehe za kutunuku kamisheni wanajeshi ikulu Dsm wakati chuo kilichowafundisha wanajeshi kipo Monduli kipo Monduli, Arusha. Sababu alikuwa anapachukia Arusha. Alikuwa Rais wa ajabu kuibagua nchi...
  20. upupu255

    PreGE2025 Dkt. Biteko aahidi Milioni 10 kwa ukarabati wa Kanisa Jimbo la Geita

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa...
Back
Top Bottom