dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  2. JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania imefaidika vipi wakati dola imeporomoka sana

    Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita. Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

    Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali ) Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
  4. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya China yaagiza benki zinazomilikiwa na serikali kupunguza ununuzi wa dola za Kimarekani

    Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru. JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: CHADEMA lengo lake ni kushika Dola, kunapokuwa na chochote ambacho kinazuia hilo lazima kisemwe

    "Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA" "Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
  6. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya dola dhidi ya TZS kwa siku ya jana na leo yaantisha

    Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  12. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Japani watoa dola 140,103 kwa ajili ya kujenga jengo la darasa katika shule ya Wasichana Sakura jijini Arusha

    Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha. Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

    Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA Allah azidi kuwaongoza!
  14. JamiiForums Tanzania Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

    Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote? Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali...
  15. JamiiForums Tanzania Kipanya: Unga bei juu, Mafuta bei juu, Dola haipatikani

    Kudadeki!! 🤣
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Dola ya CCM hukubali Siasa za Makundi, Kuwaondolea Watanzania Viongozi wazelendo, wachapakazi Kwa hoja ya "Ana Makundi"?

    Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti . Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti . UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti. Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi . Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania NETO wanaweza kuwa Chama cha Upinzani kizuri na kushika dola kuliko vilicyopo!!

    Habarini, Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi Panyabuku walivyofanya bure kazi ambayo serikali ilitenga dola millioni 1.2 ( Tsh Billioni 3.24 ) kwaajili ya kuifanya

    Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu. Wakati mradi wa kujenga dimbwi la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata ufadhili wa dola millioni 1.2 kukamilisha ujenzi huo siku moja watu wa maeneo hayo waliamka...
  20. JamiiForums Tanzania Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…