dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  3. JamiiForums Tanzania ITrust Finance yazindua mfuko wa iDollar kwa Uwekezaji kwa Dola ya Marekani,

    Kampuni ya ITrust Finance imezindua rasmi Mfuko wa IDollar, mfuko wa pamoja wa soko la fedha unaotumia sarafu ya Dola ya Marekani (USD) Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 10, 2025 ambapo kampuni hiyo imeeleza kiwa mfuko huo umezinduliwa kwa ajili ya kuwawezesha Watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Kama ilivyo dini Dola haiwezi kufa na itaendelea kuenenda kama Dola

    Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele. Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini. Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  5. JamiiForums Tanzania kuna tapeli yupo Moshi linatapeli watu na dola feki

    Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki, Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Njia Mbili za kuishinda Dola; Moja, uwe sehemu ya Dola au Uungane na taifa jingine lenye nguvu kupambana na Dola yako

    Sabato Njema! Kimsingi huwezi kushindana na serikali/Dola ukashinda. Utaishia kuumia tuu. Hakunaga kitu kinaitwa nguvu ya Umma! Nguvu ya umma ni illusion tuu. Mbinu ya kushinda Dola ni mbili tuu; 1. Uwe sehemu ya Dola, Yaani ili uishinde serikali itakupasa uwe sehemu ya serikali, uwe katika...
  7. JamiiForums Tanzania Trump kuipa Iran dola bilioni 30 iachane na mpango wake wa nyuklia

    🚨 BREAKING NEWS 🚨 Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia. Je, kiasi hiki cha pesa kinaweza kuifanya Iran kusalimu amri au ni mbinu nyingine ya kisiasa ya Trump kutafuta...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

    Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mama, hata wewe usilazimishe vyombo vya dola vifanye mengine kama inavyotokea katika mataifa mengine

    Mama, kama ulivyotushauri sisi wananchi, na mimi huo ndio ushauri wangu kwako kwani huwezi jua wanayapokeaje haya yanayoendelea hapa nchini.
  10. JamiiForums Tanzania Dola yenye watu Wazalendo, Utimamu Bora wa Akili na Maono, Haiwezi Ruhusu Watu aina ya Mpina, Gwajima, Lissu, Heche wapotee Kwa manufaa ya Taifa !!.

    Hawa watu ni muhimu sana Kwa Manufaa ya Tanzania ya Leo na baadae , ni watu ambao Kanuni, Falsafa na Imani zao kuhusu Tanzania Bora zinapaswa kugeuza kua ITIKADI YA NCHI !!. Ni watu ambao ni Nadra sana kupatikana, katika wakati kila MTU amekua Chawa Chawa kiasi cha kupofusha viongozi wasione...
  11. JamiiForums Tanzania USDT ni Nini? Kwa Nini Inaaminika Kama Dola ya Kidijitali?

    Je, Kwa Nini USDT (Tether) Inaonekana Kama Sarafu ya Kidijitali Inayoshikilia Thamani ya Pesa?. Tuje kwenye Historia Kabla ya kuibuka kwa USDT, watu waliokuwa wakitumia sarafu za kidijitali kama Bitcoin au Ethereum walikumbwa na changamoto kubwa ya mabadiliko makubwa ya bei (volatility). Hii...
  12. JamiiForums Tanzania Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

    Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata 'assets' zangu zilizokuwa zimeibwa na ajenti wa shetani(ibilisi). Ilikuwa hivi: Hivi majuzi, mimi na...
  13. JamiiForums Tanzania Dola na CCM wanaweza kuua Tasnia ya Siasa(Political Industry) pamoja na uwekezaji mkubwa uliokwishafanyika

    Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi serikali kupitia mapato ya ndani pamoja na fedha za wahisani Imewekeza mabilioni ya dola na na matrilioni ya shilingi kwenye tasnia ya siasa ili kuikuza, kuiimarisha kwa maslahi ya Taifa. Uwekezaji huo upo katika maeneo mengi sana mathalani 1. Tuzuku kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa ACT Wazalendo awaasa wana ACT Kutofurahia CHADEMA kuonewa na dola, akemea utekaji wa wananchi unaoendelea nchini

    Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao. Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
  15. JamiiForums Tanzania Nguvu ya dola (state)

    "Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya watekaji sio ya kawaida wanaweza zuia dola isichunguze na kuamuru dola kufungia makanisa

    Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo. Kweli kua uyaone
  17. JamiiForums Tanzania Ni hatima ya askofu aliye upande wa wananchi dhidi ya utawala?

    Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea. Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi. Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani. Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
  18. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi. Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu. "Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani...
  19. JamiiForums Tanzania Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maono:" NO REFORM NO ELECTION" Tumeshawaelewa, CHADEMA mkiingia kwenye UCHAGUZI huu baada ya hii presha mnayotoa 2030 mtachukua Dola

    Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi. Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli. Sasa ili kazi imaliziwe vizuri, na watu wameshaona. Sasa mtumie uchaguzi huu ujao kukusanya data za KWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…