dogo janja

Abdulaaziz Chande, (born September 15 1994), known professionally as Dogo Janja, is a Tanzanian singer-songwriter rapper, based in Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. BIG BROTHER ALEX

    Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

    Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Picha: Dogo Janja akila kiapo kuwa Diwani wa Ngarenaro

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja akiapa kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Halmashauri ya Jiji la Arusha leo, Desemba 4, 2025.
  3. tonicimmobility

    Mbona kama Polisi inamsemea Dogo Janja?

    Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia vitu. Wanadhani hatujui chanzo cha DOgo janja kumpiga risasi huyo dogo? Alafu siku hizi kumbe...
  4. Pdidy

    Bastola ya dogo janja anamiliki kihalali??Tuanzie hapa kama sio nani mmiliki?

    Ndugu wa jeshi la polisi. Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi. Imenihuzunisha sana sana. Awali ya yote chunguzeni. Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki kihalali. Kama sio nani alimpa? Na nani mmiliki mtujuze mapema tu. Na kama anamiliki kihalali nashairi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Msanii Dogo Janja autaka udiwani Kata ya Ngarenaro

    Msanii wa Bongo Fleva Dogo Janja ametangaza nia ya kugombea udiwani Ngarenaro. “Kata ya Ngarenaro nimezaliwa, nimekulia na Nimeishi sasa ni wakati wa Kuwatumikia Wananchi wenzangu na kushirikiana nao katika kusukuma Gurudumu la Maendeleo ya Kata yetu. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  6. Samatime Magari

    Mazda Verisa aka Dogo Janja

    Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni wakiondoka kinalamba kabisa, ka vizuri twende pamoja utanielewa tu.. . Verisa kimuonekana amekaa...
  7. VUTA-NKUVUTE

    Anapoingia 'Dogo Janja' kuna ujanjaujanja

    Nimejiridhisha na sasa nawafahamisha. Namzungumzia kiongozi wetu hapa nchini, kiongozi mkubwa lakini kwa kubebwa bila kukabwa wala ubwabwa. Kiongozi kutokea jimboni hadi Bungeni na Serikalini. Watu wa mfumo wanamuita 'Dogo Janja'. Ameshakuwa mzoefu na maarufu. Amekwepa mishale mingi na vigingi...
  8. H

    Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

    Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
  9. S

    Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

    Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19. Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na...
Back
Top Bottom