dodoma

  1. R

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

    KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula. Kama habari...
  2. JamiiForums Tanzania Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni Watoto wa kishua wanasoma stockley Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco mitaa ya iringa road Picnic tunajichanga tunaenda pnde za mkalama kule ma miyuji kwenye ile...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati za kudumu za Bunge kukutana kuanzia Oktoba 10-30, 2022 Jijini Dodoma

    Kamati nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 10 hadi 30 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu 250 hupima afya ya akili Mirembe kila siku

    Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe jijini Dodoma, inapokea wastani wa wagonjwa wa akili 150 hadi 250 kwa siku kwa ajili ya matibabu. Idadi hiyo imetajwa kuwa katika kitengo cha huduma za nje ambapo kati ya wagonjwa hao, wagonjwa 30 hadi 70 hupewa matibabu na wagonjwa tisa hadi 15...
  5. JamiiForums Tanzania Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

    Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣 Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhamia Dodoma: Serikali imefanya makosa kuruhusu taasisi zake kujenga ofisi katikakati ya mji

    Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na kuuza viwanja vingi tu. Maeneo hayo ni pamoja na Mtumba, Nata, Ihumwa, Nzuguni, Michese...
  7. JamiiForums Tanzania TPA yahamishia shughuli zake Dodoma

  8. M

    JamiiForums Tanzania Belarus utadhani Bahi Dodoma kumbe Ulaya

    Mzuka wanajamvi! Mara ya kwanza kuona hii picha nilidhani Bahi, Kongwa huko kumbe ni Belarus Ulaya ya Lukashenko mshirka wa Putin. Yani hapana tofauti na Bukombe na Nyarugusu kwa kina mwamba. imhotep
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  10. JamiiForums Tanzania DODOMA: Halmashauri kuu ya CCM yaongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kutokana na Utitiri wa Wagombea

  11. JamiiForums Tanzania Dodoma, soko la Machinga mnagawia mtu aweke baa. Hapo mnatengeneza nini?

    Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini? Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka? Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa. Hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Zabibu kwa mkoa wa Dodoma

    Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Japo siyo mwandishi mzuri ila napenda ku-share na nyie Watanzania wenzangu kuwa zipo furusa nyingi za uwekezaji lakini baadhi yetu hatujui na hatujawahi fuatilia. Mkoa wa Dodoma ni maarufu kwa zao la zabibu na mm ni mmoja wa...
  13. JamiiForums Tanzania CCM inaanza vikao vya uteuzi wa ngazi ya Taifa leo Dodoma

    Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya. “Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge na Wizara ya maji kazi mpaka usiku kushuhudia jitihada za upatikanaji maji Dodoma

    KAMATI YA BUNGE NA WIZARA YA MAJI KAZI MPAKA USIKU KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UPATIKANAJI MAJI DODOMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na timu ya Wizara ya Maji pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wameshuhudia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Majaliwa awatoa hofu wadau mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta

    LEO BUNGENI DODOMA MAJALIWA AWATOA HOFU WADAU MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awatoa hofu wadau wa mazingira na wa haki za binadamu kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Tanzania mpaka Unganda kuwa Mradi huo utazingatia Diplomasia za kitaifa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anahudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja. Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja? Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge? Kama alikwenda Israel...
  18. JamiiForums Tanzania RC Dodoma ashauri kutoza faini ya Tsh. 10,000/- kwa wasioimba wimbo wa Taifa

    Nukuu: “Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili...
  19. JamiiForums Tanzania Wamachinga wamkumbuka Magufuli na Antony Mtaka kwenye Ugawaji wa Maeneo Soko jipya la Machinga Dodoma kwa kuwekwa wasiokuwepo na wao kukosa

    Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ofisi za Ubalozi kuhamia Jijini Dodoma

    Utangulzi: Kumekuwa na ukimya mwingi juu ya lini ofisi kuu za ubalozi zitahamia Dodoma ili ofisi za Dar es Salaam zibakie kuwa ofisi ndogo. Hivyo nimekajaribu kuwaza nikafikiri kuwa kuna haja ya kulitizama hili ili kuamsha hisia kwa wahusika na kujua mipango ama viashiria vya changamoto katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…