dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mashudu ya Karanga nauza nipo Dodoma

    Mashudu mazuri ya karanga nauza nipo Dodoma bei maelewano nicheki kwa namba zangu +255682761740 tufanye biashara iliyonyooka ipo Tani 30 kilo sh.800
  3. K

    JamiiForums Tanzania Don Bosco Dodoma na Abc College Arusha vs VETA, which is the best to study?

    Wadau,, nimeambia kunavyo vya ufundi Donbosco Dodoma na chuo cha Abc Arusha.Nwuliza je kunawatu wamesoma hivi vyuo? Na je elimu yao ikoje ukilinganisha na kusoma VETA. Asante
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Sheria yawaita Wananchi wenye changamoto za Kisheria waliopo Dodoma kwenda NaneNane

    Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma. Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
  5. JamiiForums Tanzania Napendekeza kuanzishwa kwa ‘Human UBER Services’ kwa miji ya Dar es Salaam na Dodoma kuongeza ufanisi katika ukuaji uchumi

    Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio akiwa amelala tu kwenye sofa nyumbani kwake. Katika mfumo huu, vijana wasio na ajira huko Dodoma...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Uchaguzi wa Viongozi wa TLS umeingia Katika hali ya Sintofahamu, mfumo wa “Mjue Wakili” wagoma

    Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
  7. JamiiForums Tanzania Dogo Dulla acha Kulazimisha Baba Mkwe wa Hiari amrithi Msomali pale Lumumba Dar es Salaam na Kizota Dodoma sawa? Atamharibia Mazeri

    Baba Mkwe wa hiari huyo alipokuwa Umoja wa Waliotuzaa Chamani aliharibu na kaacha Kashfa nyingi tu. Hafai huyo.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Hospitali ya Mirembe waliiweka Dodoma?

    Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma. Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
  9. JamiiForums Tanzania SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

    Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar. Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia. Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania SGR: Dar mpaka Moro na Moro mpaka Dodoma masaa mangapi?

    Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku. Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi? Na nauli ni Tsh ngapi ? Watu wa Mwanza Bariadi Shinyanga na Musoma safari ya kwenda Dar ni mateso huwa tunafika usiku mnene Napenda kujua ili...
  11. JamiiForums Tanzania Miili ya wanawake wawili yaokotwa Dodoma

    Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma ambao miili yao imeokotwa huku mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali. Kwa mujibu wa mashuhuda, mwili huo unaoonekana kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali, umekutwa ukiwa umefungwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania SGR kuziba njia za watu bila kuweka utaratibu mbadala Dodoma mjini

    done
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli Dodoma jiji kuna utekaji watoto?

    Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka minne akutwa amefariki baada ya kukatwa mkono na sehemu za siri

    Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika. Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Done
  16. JamiiForums Tanzania DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  17. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma watengenezewe beach artificial

    Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu. Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  20. JamiiForums Tanzania Nimetembea mikoa mingi Tanzania nimegundua kuwa Dodoma kuna nyoka wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania

    Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao. Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…