dodoma

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habari za asubuhi wapendwa. Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada. Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda Dodoma kuna kiwanda cha Toyota /Nissan V8 na hatujui

    Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

    1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao. 2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni Destinations: Dar, Arusha, Iringa,Mbeya na...
  4. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  6. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

    Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI

    Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? ===================== Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Nyumba kwa Watoto Walioangukiwa na Nyumba Jijini Dodoma

    ▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao Mbabala, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Bar maarufu ya Mwanga Bar Dodoma wanatuuzia chakula na mataka yakiwa mbele ya jiko. Usalama wetu walaji uko wapi?

    Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

    Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
  13. JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maelfu washiriki 'Generation S Samia Jogging'

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe. Shekimweri ameyasema...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
  17. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wakazi wa mtaa wa Bochela, Mnyakongo, Salama na Mtube wahofia kukosa makazi, nyumba zaidi ya 300 zazingirwa na Maji

    Wakazi wa mtaa wa Bochela, Mnyakongo, Salama na Mtube kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wahofiwa kukosa makazi kutokana na maji kuzingira makazi zaidi ya nyumba mia tatu.
  18. JamiiForums Tanzania Ameitiwa kazi Dodoma bila mkataba, je aende?

    Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90 Hela ya kula per day ni elfu 3 Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA
  19. JamiiForums Tanzania Dodoma: TRA yatoa elimu ya Kodi ya zuio Kwa taasisi za Umma

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
  20. JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…