dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
  2. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Adui wa Tanganyika sio Samia, sio CCM, ni mfumo tulioulea wenyewe

    Watanganyika tumejenga tabia ya kutafuta mchawi wa matatizo yetu kila kukicha — tukimlenga kiongozi, chama, au mtu fulani. Wengi leo wanamlaumu Dkt. Samia, wengine CCM, wengine wafanyabiashara, na wengine polisi. Lakini ukweli mchungu ni kwamba adu yetu kama nchi siyo Dkt. Samia, siyo CCM, siyo...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

    “Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Ameir: Tumeshuhudia ongezeko la ajira chini ya uongozi wa Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi

    Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Dkt. Samia anachaguliwa kutokana na uwezo wa kazi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu. Amesema...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo kumwekea Pingamizi Samia ikidai uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitaweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kikidai kuwa uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Septemba 2025 jijini Dar es...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Huwezi sikia mtu wa CCM akisema tukiwashe kwa fujo, wakisema tukiwashe ni King'amuzi cha Azam

    Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu. "Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umati wa Vijana wa Tabora wakielekea kwenye Kampeni za Mgombea Urais CCM Dkt. Samia

    Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Vijana hao walisema wamehamasishwa na kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Watu wengine huko wanalalamika kwanini Watanzania Mnajaza Viwanja vya CCM

    Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo " Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia awajibu wanaodai CCM inatumia nguvu kubwa kwenye kampeni

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho. Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia kujenga vituo 50 vya kuhifadhi parachichi

    DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuwa Serikali imejikita katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi, kwa kuwekeza katika...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia: Nawaomba Wanambeya twende tukapigie kura Chama cha Mapinduzi

    TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya Kwenye Video ni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Dkt. Samia amejaliwa maono makubwa

    Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CCM Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025, kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya...
Back
Top Bottom