dkt. nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu

    Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba serikali kutoa Sh.bilioni 2 ili kufanikisha ujenzi wa soko hilo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inanadi sera zake sio matusi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi yake. Soma: Dkt...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi niliposikia utakuwepo kwenye Mdahalo niliandaa swali kuhusu aliyeua Mradi wa Mabasi ya Wanafunzi DSM

    Ni Bahati Mbaya kwamba hukufika kwenye Mdahalo huo kwa sababu unazozijua Mwenyewe. Niliamini kwamba kwa vile Wakati wa Mradi huo wewe ulikuwa kiongozi wa Uvccm pamoja na Sukwa Said Sukwa wa Pemba, basi bila shaka Ungetuambia sababu hasa ya Mradi ule kufa hasa ikizingatiwa kwamba ulisimamiwa na...
Back
Top Bottom