Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema:
"Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
Wakuu
Nimekutana na hii taarifa ikiambata na video na kudai kuwa ni ushuhuda wa kwamba Lissu alieleza kuwa walikutanishwa na Padri kitima kwa lengo la kupatanishwa. Je ni kweli Lissu alisema maneno hayo?
===
OGOPA MUNGU na TEKNOLOJIA amewahi kusema marehemu Ruge Mutahaba. Huyu hapa Tundu Lissu...
Tarehe 14/2/2018 Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) walitoa Waraka uliokuwa maalumu kwa ajili ya Kwaresima na Sikukuu ya Pasaka. Waraka huo ulisainiwa na Maaskofu 35 toka Tanzania nzima ulikuwa na ujumbe mkali dhidi ya serikali hasa kuhusu uchaguzi na vyama vya upinzani kunyima haki ya kikatiba...
Wanabodi
Naomba kuuliza,ni mimi tuu au na wenzangu mnaona hili tukio la kushambuliwa kwa Father Dr Charles Kitima,Katibu Mkuu wa TEC, lime draw extra ordinary attention,limeleta mshtuko mkubwa na kuzua taharuki,ni moto wa statements zinamimika kutoka kila sehemu,what is so special?
Nimeamini...
Tukio la kuvamiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Dkt. Charles Kitima, limeibua maswali mengi miongoni mwa waumini na jamii kwa ujumla.
Katika hali hii, ni muhimu kujiuliza maswali kadhaa kuhusu usalama wake na mazingira aliyokuwa akishi.
1. Usalama...
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.
Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa za maokoto.
Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal.
Tujiandae na matukio ya ajabu.
Nyau de adriz
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa jukumu la viongozi wa dini kukemea maovu katika jamii, likiwemo wizi wa kura na ukiukwaji wa misingi ya haki katika chaguzi, si kuingilia siasa bali ni kutimiza wajibu wa kidini na kimaadili...
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata...
Wakuu
Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini amekua akiendesha vikao vya siri vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bila kuutarifu...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua...
Ni aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika. Miongoni mwa waliowahi kuishi Tanzania ni Nelson Mandela na Samora Machel.
“Nchi ambayo ilikuwa...
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Pia, Soma: Dar: Ali...
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Nimesoma tamko la TEC
Kwanza tamko limesomwa na mtu mmoja bila kuwepo na askofu mwingine yeyote.
Aliyesoma na kuandika tamko amekuwa miongoni mwa watu wanaopinga mkataba wa bandari kwa nyakati tofauti hata kabla ya tamko la leo. TEC imetumika kama Jukwaa lilisaidia Slaa na Kitima kufikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.