dira

Deficiency of the interleukin-1–receptor antagonist (DIRA) is an autosomal recessive, genetic autoinflammatory syndrome resulting from mutations in IL1RN, the gene encoding the interleukin 1 receptor antagonist. The mutations result in an abnormal protein that is not secreted, exposing the cells to unopposed interleukin 1 activity. This results in sterile multifocal osteomyelitis, periostitis (inflammation of the membrane surrounding the bones), and pustulosis due to skin inflammation from birth.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Wateja wakumbushwa usomaji dira za maji shirikishi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma. Zoezi la usomaji mita...
  2. Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha? Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
  3. Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  4. Taharuki dira yageuka dera

    Ndani ya jahazi la kusadikika, Lenye uelekeo usiojulikana Wadada kwa wakaka, wamebaki na bumbuwazi. Nahodha wa chombo hayupo wazi Ile dira iliyokuwa mezani Imeponyoka katoa matanga Kashona dera Abiria kwa mabaharia, Wamebaki wanalia Hichi ndicho kisa cha dira kugeuka dera, kama hujaelewa...
  5. K

    Dira mbovu ya 2050 ndani ya katiba ya chama kimoja 1977

    Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
  6. PostGE2025 Prof. Mkumbo: Dira 2050 ina matarajio ya kupunguza udhibiti wa biashara

    "Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
  7. Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

    Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika. KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
  8. Unahitaji Mwamba kweli kweli kusimamia utekelezaji wa Dira 2050

    Bila shaka mwamba amepatikana Yaani Mwigulu Nchemba. Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo. Ni vyema kumpata Mwamba huyu wa Kanda ya Kati, aliyesoma kaskazini na mjini pia Hongera Mwigulu...
  9. L

    Mijadala ya sera kati ya Tanzania na China kuinufaisha Tanzania katika utekelezaji wake wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
  10. Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
  11. J

    GE2025 David Kafulila: Ni vizuri aliyeiandaa dira ya 2050 apewe nafasi ya kuiwekea misingi walau hadi 2030

    KAULI HII YA KAFULILA INAFUNGA MJADALA Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam, Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi maarufu cha DK45 kinachorushwa na runinga ya ITV kila Jumatatu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP Centre), Bw. David Kafulila, ametoa taswira pana kuhusu ndoto ya...
  12. Kwa nini Ilani za vyama zisilazimishwe kisheria KUFUATA dira ya Taifa?

    Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo. Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo. Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  13. Tiss,BOT,Hazina na Wizara ya Fedha Dira ya Maendeleo 2025/2050 punguzeni riba ya Mikopo hadi 12%

    Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia. Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
  14. Picha: Dira ya maendeleo ya 2025-2050 ikitekelezwa na CCM.

    Kila mtanzania atapata dola 5000 kwa siku
  15. Vijana na dira ya taifa

    Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,, Leo hii kijana anaonekana kama tishio...
  16. Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  17. T

    Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  18. U

    Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  19. Dira Mpya 2050 ambayo imekaa KiCCM ambayo hailindwi na KATIBA MPYA !!

    Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!. Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !! Uzembe, Uvivu, Ufisadi , matumizi mabaya ya Ofisi na Fedha za Umma yataendelea kushamili. Dira mpya ambayo Demokrasia Nchini...
  20. M

    Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

    Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…