dira ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

    Usiondoke JF Rais Samia Suluhu Hassan leo anazindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo utafanyika wakati wa Mkutano wa Tatu wa Taifa wa Dira, na unatajwa kuwa ni tukio kubwa la kihistoria, likiwa ni mara ya...
  2. Carlos The Jackal

    Huenda Kesho kupitia Uzinduzi wa Dira ya Taifa ikawa Ile siku Kuu inayongojewa !! Vyovyote iwavyo, Asimseme Polepole kama alivyomchamba Gwajima!

    Wakuu Polepole kaahirisha Mkutano wa Kesho kuipa Nchi usikivu juu ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa !! Uzalendo ndio huo, sio kwamba kaahirisha kwakua anamuogopa Rais SAMIA , La hashaa !! Kaarisha kwakua Kwa Upande Mmoja Watanzania Wanatakiwa Kuielewa Dira yao ya Taifa!. Hapa pia Kuna kitu, Rais...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Deodatus Balile: Dira ya 2050 Siyo ya CCM

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile, amesisitiza umuhimu wa vyama vya siasa nchini vyenye kushiriki uchaguzi mkuu kuwa na ilani za uchaguzi zenye kuakisi malengo na mipango iliyopo kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025/50, ili kuwa na mtazamo wa pamoja wa...
  4. Y

    David Kafulila, Prof Mukandara, Prof Tibaijuka katika kongamano la Kihistoria kuhusu Umuhimu wa PPPs katika kuifikia Dira ya Taifa ya 2025-2050

    https://www.youtube.com/live/0iIi3qq1dfY?si=VMYyoAVX7Hjv6GcD === Leo tarehe 27.05. 2025 litafanyika kongamano kubwa la kujadili nafasi ya Ubia (PPPs) katika kufikia malengo ya Dira yetu ya Taifa ya mwaka 2025-2050 === Dira yetu ya Taifa imasema ifikapo mwaka 2050 Uchumi wetu utakuwa umefikia...
  5. M

    CCM, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, ACT, NGOs kesho Kwa pamoja kujadili faida za PPP katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2050

    https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY === Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam. Pamoja na...
  6. Ndolezi Petro

    Dira ya Taifa, Hoja 7 Mkononi

    DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha za Dira. Nilikwenda na hoja 7 mkononi kama ifuatavyo 01. Kuna Watanzania 91% ambao ni nguvu kazi...
  7. Pascal Mayalla

    Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, Waihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wanabodi Niko hapa ukumbi wa JNCC nikikuletea Live Mkutano wa Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, kuihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Karibuni sana. https://www.youtube.com/live/aZDU3ogL-jo?si=qC7GfiL6B69e_mxS Paskali
  8. D

    Mapungufu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Nadhani wote tunakumbuka tulishirikishwa kutoa maoni ili yaingizwe kwenye dira hii, lakini cha kushangaza baadhi ya maoni hayakuzingatiwa na kuwekwa ikiwa na maana aidha yalikuwa hayana maana sasa ninachouliza kwa wenye uelewa ni utaratibu gani ufanyike ili malalamiko yawafikie walengwa au ndio...
  9. K

    Tanzania! Fake! Dira ya taifa 2050 bila katiba mpya ni kujidanganya!

    Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo. Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
  10. Waufukweni

    Waziri Mkumbo: Tumekusanya maoni ya vyama vyote vya Siasa Dira ya Taifa ya maendeleo 2050

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika katika Hoteli ya Serena Ijumaa, mkoani Dar es Salaam tarehe 6 Disemba 2024, amesema: "Tumekusanya vilevile...
  11. Gemini AI

    Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  12. Roving Journalist

    Justice Rutenge: Dira ya Taifa inapaswa itokane na Sauti, Mawazo, Mitazamo na maoni ya Wananchi

    Washiriki zaidi ya 500 kutoka Asasi za Kiraia (AZAKI), Sekta Binafsi, Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajiwa kushiriki maadhimisho ya Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika kuanzia Septemba 9 hadi 13 Jijini Arusha. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Agosti...
  13. Yoda

    Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
  14. Cute Wife

    Prof. Kitila Mkumbo: 81% ya waliotoa maoni kwenye Dira ya Taifa 2050 ni vijana

    Akizungumza katika uzinduzi wa Kongamano la Kikanda la Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema zaidi ya 81% ya waliotoa maoni ni Vijana kati ya miaka 15- 35. Pia soma: Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya...
  15. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Taifa la Kujitawala

    Wakati Tanzania inasonga mbele katika siku zijazo, moja ya malengo makuu lazima liwe ni kuhakikisha mali na viwanda muhimu vya taifa letu viko chini ya udhibiti na umiliki wa raia wa Tanzania na serikali ya Tanzania. Kwa muda mrefu sana, tumeacha udhibiti wa bandari zetu, maliasili, miradi...
  16. Crocodiletooth

    Jamii forum, maoni dira ya Taifa, 2025-2050.

    -Maoni yangu binafsi ni umri wa kustaafu uwe miaka 50, kupisha chipukizi. -Iwe mwiko mtu kushika nafasi za kiuongozi zaidi ya moja. -Baada mtu kustaafu awe anapatiwa eneo la ekari 2, kama sehemu za benefit zake. -Uchumi wa viwanda upewe uzito -Utaalamu wa maswala ya electronic, ujuzi wake kwa...
  17. Abdul Said Naumanga

    Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ushiriki wa Wananchi katika Kuunda Dira ya Taifa

    Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila Mtanzania kushiriki katika kujenga mustakabali wa Taifa letu. Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
  18. Roving Journalist

    Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni Juni 8, 2024

    Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi Mada za Utangulizi 1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60 2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050 Wachagizaji wa Mada 1. Prof. Samwel Wangwe 2. Mama Getrude Mongela 3. Dkt. Neema Mduma 4. Dkt. Richard Mbunda
  19. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kamati ya Dira ya Taifa: "Umoja wa Taifa ni Chachu ya Maendeleo au Maendeleo ni Chachu ya Umoja wa Taifa?"

    Wajumbe 22 wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo wakiwa wamesimama mbele ya bango lenye kaulimbiu isemayo kwamba "Umoja na Mshikamano ni Chachu ya Maendeleo ya Taifa" I. Utangulizi "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Kuacha kufanyika...
Back
Top Bottom