Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,,
Leo hii kijana anaonekana kama tishio...