Wananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, jimbo langu linapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu...